Kuajiriwa ndo nini?................................................................ Watu mlioajiriwa huwa mna akili fupi sana.
Unafikiri ulihusisha watu wengi. Huna hakikaWatu wengi mnaojadili hili swala mnaweza msifahamu viashiria vya nchi kukua kiuchumi, au pia mnaweza msifahamu uhandisi ujenzi na faida zake, nafikiri pia mppaka mradi huo kuwa executed wataalamu wa kutosha wa kila nyanja walijumuishwa, sio mradi wa bahati mbaya au fikra za mtu mmoja.
Kwamba kivuko kitakuwa kinazima?Si kila daraja lipo kwa ajili ya kupata faida. Mwanza kuna hospitali kubwa ya kanda, unapotumia feri wagonjwa wanachelewa kuvuka na kuhatarisha uhai/afya wao/zao.
Pia kivuko cha feri hakiaminiki si tu kwa usalama lakini pia hata utengemano si muda wote kitakuwa kizima.
Na inawezekana hata hata kwa mwaka usiwahi kupita kwenye njia hii.
NOTE: NIMEKUJIBU LAKINI NATAMBUA WAZI UPO MLENGO WA KUPINGA.
Kuajiriwa ndo nini?
Fedha za ndani au nje unaijua tofauti yake? Naomba kwanza tufahamiane. Ni taaluma gani unayoiweza bila makosa? Uchumi, sayansi, Historia, lugha au Hesabu? Niambie ili nijue wapi pa kuanzia maana nisingependa kuelimishana na mtu ambaye tofauti yeti ni jiwe na maji.
Kwanini badala ya kuongeza vivuko usijenge daraja ambalo kila mtu atapita hata nwenye vibaiskeli atapota bila usumbufu?
Hivi uchumi wa huyo Lisu wenu ni aina gani kama washabiki wake ndio hivi?
Si lazima wagonjwa wawe mahututi pia kuna suala la utengemano wa kivuko ambao si wa kuaminika.Wajengee hospitality pale walipo, wawe stabilized then ndio wapelekwe bugando. Kusafirisha wagonjwa mahututi ni ushamba. Lisu alipelekwa ubelgiji, je kuna daraja kati ya tz na ubelgiji
Siyo kwelikwa maon hapa nimegundua wanaotumia njia hio ndio wamelitetea sana.kwa maaana wao ndio wanaelewa umuhim wake.yale yake ya kitanda usichokilalia hwajui kungun wake!! kama ilikua kivuko kikijaa unasubir sana bora daraja ili mtu upite hapo kwa haraka.Huenda na ruti za mabas ya abiria zikawepo.meli pia kwa watalii. kwa nini MTOA MADA UMEKALIA KUPINGA PINGA TU.MBONA TUNAONA NEW YORK WANA MADARAJA MAREFU SANA NA VIVUKO PIA VIPO
Mkuu project zote kubwa inahusisha wataalamu wengi wa kada tofauti tofauti!Unafikiri ulihusisha watu wengi. Huna hakika
Naijadili, kulingana na jinsi ulivyoichukulia!Una dhana potofu juu ya serikali za majimbo.
Wajengee hospitality pale walipo, wawe stabilized then ndio wapelekwe bugando. Kusafirisha wagonjwa mahututi ni ushamba. Lisu alipelekwa ubelgiji, je kuna daraja kati ya tz na ubelgiji
Faida zitaonekana mbeleni
Sio huenda ruti za mabasi zikawepo, mabasi na malori ni mengi sana hapa, basi za kwenda kigoma, Geita, kagera, uganda na malori yanayoenda Burundi, Rwanda DRC na kwingineko.Kwa maon hapa nimegundua wanaotumia njia hio ndio wamelitetea sana.kwa maaana wao ndio wanaelewa umuhim wake. Yale yake ya kitanda usichokilalia hwajui kungun wake!! kama ilikua kivuko kikijaa unasubir sana bora daraja ili mtu upite hapo kwa haraka.Huenda na ruti za mabas ya abiria zikawepo.meli pia kwa watalii. Kwa nini MTOA MADA UMEKALIA KUPINGA PINGA TU. MBONA TUNAONA NEW YORK WANA MADARAJA MAREFU SANA NA VIVUKO PIA VIPO
Daraja halipo kwa ajili ya wagonjwa tu, wagonjwa wanaopita pale ni asilimia chache sana, kuna malori na mabasi ndio balaa pale, mengine yanachukua dagaa na samaki wakavu kupeleka DRC.Wajengee hospitality pale walipo, wawe stabilized then ndio wapelekwe bugando. Kusafirisha wagonjwa mahututi ni ushamba. Lisu alipelekwa ubelgiji, je kuna daraja kati ya tz na ubelgiji
Unvyosema hakuna watu ,unapajua vizuri au unapasikia tuuSasa ngoja hilo daraja likamilike uone watakaopita hapo kama watakuwa wengi kuzidi feri. Hivi unajua kurudisha bilioni 700 wewe! Hizo hela ni nyingi sana kwa kuelekeza kwenye mradi kama ule. Any way ila Jiulize kwanini hata yeye Magufuli anahisi alifanya kitu kisicho na tija hadi anahimiza waharakishe ili Rais mwingine asije akaufuta huo mradi.
Wasio watumiaji wa njia hiyo hawataweza kamwe kugundua umuhimu wa daraja hilo, sehemu ambayo kwa muda wa chini kabisa unatumia lisaa limoja. (Yaani nusu saa kuvuka na nusu saa kusubiri kuvuka)Lissu alipita hapo kigongo ferry akaubeza huo mradi lakini mhe Magufuli aliusifia na kueleza umuhimu wake. Ngoja tuone tar 28 wananchi watatuambia.
Mimi ninavyofahamu hilo eneo kwa siku linapitisha magari na watu wengi sana. Kuvuka kwa kivuko inakula kama dk 30 mpaka 45.