Bado natafuta mantiki ya kujenga hili Daraja la Kigongo - Busisi kwa Tshs. Bilioni 700

Si lazima kila Mradi uwe na faida ya moja kwa moja kipesa, Hii ni Huduma ya msingi kwa hao raia wa hilo eneo na no saa na wakati kwao umefika kupata hiyo huduma
 
Kwa hiyo hela ungeweza kununua feri zaidi ya mbili kama zile za kivukoni na kujenga hospitali kubwa kama Muhimbili kule kule Kigongo. Yani haiingii akilini hata kidogo
Angenunua ferry mbili nyumbu mngetoka povu kwanini ananunua ferry mbili badala ya kujenga daraja la kudumu! Mngepinga tuu chadema Nani asiyewajua? Subirini happy October Lissu anaenda ikulu mtanunua hizo ferry mbili na kujenga hospital kubwa Kam muhimbili badala ya Hilo daraja.
 
G Sam,

Kwanza unajua hiyo sehemu itapitisha magari mangapi kwa siku?

Pale kuna feri tatu na mara nyingi moja ni mbobu, lakini ukifika pale unaweza kusubili saa 1.30, hadi masaa 2.30 hapo hakuna shida, ila kama kivuko ni kimoja unakaa pale masaa matano hadi sita,

Sasa kama unaharaka au unaumwa unategemea uhai wako utakuwa salama?

Wakati sehemu yenyewe ikiwa na barabara ni dakika tano au 4 kuvuka.

Hivi mnapozungumzia maendeleo mnafikili ni kitu gani?
 
Hapo kweli umewasaidia nyumbu akili, maana hawawezi kuelewa daraja Lina umuhimu gani labda wataelewa Mambo ya vitumbua na chai.
 
Wee chizi kweli. Nani kabeza kujenga hizo meli?
Chizi Ni yule anae tafta sababu za kijinga kijinga ili aweze kupinga.

Wewe Endelea tu na tabia ya unafiki Maana ndo kazi pekee unayoiweza hapa duniani.
 

..billioni 700 zinaweza kufanya mambo mengi sana.

..kwanza, unaweza kuongeza idadi ya vivuko.

..pili, unaweza kujenga hospitali nzuri zaidi ili wananchi wasitegemee hospitali ya bugando kwa kila kitu.

..tatu, unaweza kuboresha barabara za ngazi ya mikoa na wilaya kwa maeneo mengi ya kanda ya ziwa.

..mimi napendekeza fedha zote, billioni 700, zitumike kanda ya ziwa, lakini zisambazwe ktk miradi mbalimbali ya maendeleo.
 
Hakuna siku shida zitaisha, kwa kuwa watu wanaongezeka na mahitaji yanajitokeza.

Hiyo bilioni 700 ni pesa kidogo sana hata haiwezi kubadili mtaa kuwa wa kisasa kanda ya ziwa.
 
Hao ndio wafuasi wa Lisu mkuu! Ndio anaowategemea kumpeleka Ikulu
 
Chadema wanahisi kuwampinzani ni kupinga kila jambo zuri la serikali.

Chadema mnapokea ruzuku ya chama kila mwaka,kwa nini mmeshindwa kujenga hata ofisi kuu ya chama chenu mnakalia kukosoa tu?View attachment 1570232
Ccm hawajajenga ofisi yoyote ya kwao mkuu. Hizo mali zote za CCM ni za umma na ilitakiwa pale 1992 vyote virudishwe serikalini.

Kimsingi hizo ofisi sijui viwanja vya mpira vya ccm inatakiwa virudishwe vyote serikalini ili watumie ruzuku kujenga ofisi zao. Kujua haya huhitaji akili nyingi

Watz wanataka mabadoriko
 
Kwanini badala ya kuongeza vivuko usijenge daraja ambalo kila mtu atapita hata nwenye vibaiskeli atapota bila usumbufu?

Hivi uchumi wa huyo Lisu wenu ni aina gani kama washabiki wake ndio hivi?
 
No hurry in Africa kijana. Nyie kazi yenu kusifia uchafu wote. Mkoje lakini?
 
Haiwezi kusamabaratika maana yule kibaraka wa mabeberu hawezi kuwa rais
Nchi yenye chuki ya kiwango hiki haiwezi kudumu ni suala la muda tu we Chato yao watakuwa huru na sisi wa Mtemi Mkwawa tutakuwa na nchi yetu.
 
Hii ndio sababu inayosababisha chadema isijenge ofisi?

Nmeona humu mnashangaa mi v8 inayotumika kwenye kampeni za mgombea wa ccm nikawaambia hata chadema ingekuwa na matumizi mazuri ya ruzuku mngekuwa na kama yale angalau ma 3.

Lakini ona aibu inyowakumba! Wagombea wenu huku mitaani njaa kali hata kufanya kampeni wanashindwa hawana pa kuanzia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…