Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabunge wenyewe mkichukua posho mnaingia mitini ,eti bungeni kuna corona,pathetic
Angenunua ferry mbili nyumbu mngetoka povu kwanini ananunua ferry mbili badala ya kujenga daraja la kudumu! Mngepinga tuu chadema Nani asiyewajua? Subirini happy October Lissu anaenda ikulu mtanunua hizo ferry mbili na kujenga hospital kubwa Kam muhimbili badala ya Hilo daraja.Kwa hiyo hela ungeweza kununua feri zaidi ya mbili kama zile za kivukoni na kujenga hospitali kubwa kama Muhimbili kule kule Kigongo. Yani haiingii akilini hata kidogo
Kwa hesabu za ufipa sawa unaweza kujenga km 500 kwa 700 bil. Ila kwa hesabu za wenye akili 2 bill ni km1.Ila 700B ni nyingi, halafu daraja lina urefu wa 3km, 700b unaweza kujenga barabara ya lami ya 500km
Hapo kweli umewasaidia nyumbu akili, maana hawawezi kuelewa daraja Lina umuhimu gani labda wataelewa Mambo ya vitumbua na chai.Hizi billion 700 zimetumika vibaya kujenga daraja. Mimi naungana na mleta mada, ila nimuongezee point ya 3. Baada ya kujenga daraja watumie hizo hela kuwanunulia watu wanaopita sehemu hiyo vitumbua na maandazi ili kuboresha afya zao! Imagine, kwa hela hiyo si watakula na kuacha kusafiri mara huku mara kule!
Ujenzi na manunuzi ya umma km ndege zinazonunuliwa na ikuluKwny miradi ya ujenzi ndipo kwny mahela ya kupiga kirahisi.
Acha waendelee kula maisha.
Chizi Ni yule anae tafta sababu za kijinga kijinga ili aweze kupinga.Wee chizi kweli. Nani kabeza kujenga hizo meli?
Mi nadhani wewe ni mjinga ti ma sijui unaiahi maeneo gani?
Kwanaza unajua hiyo sehemu itapitisha magari mangapi kwa siku?
Pale kuna feri tatu na mara nyingi moja ni mbobu, lakini ukigika pale unaweza kusubili saa 1.30, hadi masaa 2.30 hapo hakuna shida, ila kama kivvuko ni kimoja unakaa pale masaa matano hadi sita,
Sasa kama unaharaka au unaumwa unategemea uhai wakonutakuwa sahihi?
Wakati sehemu yenyewe ikiwa na barabara ni dakika tano au 4 kuvuka.
Hivi mnapozungumzia maendeleo mnafikili ni kitu gani?
Tanzania ina muda mfupi sana kabla ya kusambaratikaSiku bunge linazinduliwa eti yakatoka nje. Walifikiri nchi ni ya wakaskazini tu ?
Oktoba tutawatia adabu hawataaminiHao ndio wakaskazini jasho linawatoka awamu hii, mimi nasema wanyooshwe tu
Hakuna siku shida zitaisha, kwa kuwa watu wanaongezeka na mahitaji yanajitokeza...billioni 700 zinaweza kufanya mambo mengi sana.
..kwanza, unaweza kuongeza idadi ya vivuko.
..pili, unaweza kujenga hospitali nzuri zaidi ili wananchi wasitegemee hospitali ya bugando kwa kila kitu.
..tatu, unaweza kuboresha barabara za ngazi ya mikoa na wilaya kwa maeneo mengi ya kanda ya ziwa.
..mimi napendekeza fedha zote, billioni 700, zitumike kanda ya ziwa, lakini zisambazwe ktk miradi mbalimbali ya maendeleo.
Hao ndio wafuasi wa Lisu mkuu! Ndio anaowategemea kumpeleka IkuluKwanza unajua hiyo sehemu itapitisha magari mangapi kwa siku?
Pale kuna feri tatu na mara nyingi moja ni mbobu, lakini ukifika pale unaweza kusubili saa 1.30, hadi masaa 2.30 hapo hakuna shida, ila kama kivuko ni kimoja unakaa pale masaa matano hadi sita.
Sasa kama unaharaka au unaumwa unategemea uhai wako utakuwa salama?
Wakati sehemu yenyewe ikiwa na barabara ni dakika tano au 4 kuvuka.
Hivi mnapozungumzia maendeleo mnafikili ni kitu gani?
Ccm hawajajenga ofisi yoyote ya kwao mkuu. Hizo mali zote za CCM ni za umma na ilitakiwa pale 1992 vyote virudishwe serikalini.Chadema wanahisi kuwampinzani ni kupinga kila jambo zuri la serikali.
Chadema mnapokea ruzuku ya chama kila mwaka,kwa nini mmeshindwa kujenga hata ofisi kuu ya chama chenu mnakalia kukosoa tu?View attachment 1570232
Kwanini badala ya kuongeza vivuko usijenge daraja ambalo kila mtu atapita hata nwenye vibaiskeli atapota bila usumbufu?..billioni 700 zinaweza kufanya mambo mengi sana.
..kwanza, unaweza kuongeza idadi ya vivuko.
..pili, unaweza kujenga hospitali nzuri zaidi ili wananchi wasitegemee hospitali ya bugando kwa kila kitu.
..tatu, unaweza kuboresha barabara za ngazi ya mikoa na wilaya kwa maeneo mengi ya kanda ya ziwa.
..mimi napendekeza fedha zote, billioni 700, zitumike kanda ya ziwa, lakini zisambazwe ktk miradi mbalimbali ya maendeleo.
Haiwezi kusamabaratika maana yule kibaraka wa mabeberu hawezi kuwa rais.Tanzania ina muda mfupi sana kabla ya kusambaratika
No hurry in Africa kijana. Nyie kazi yenu kusifia uchafu wote. Mkoje lakini?Kwa hiyo wewe hupendi hilo daraja kujengwa au hiyo hela iliyotumika? Ungejua muda unaotumika kusubiri hizo pantoni usingesema hayo hasa siku ukute ipo moja. Mtu unaandika tuu sisi tunaopita ndio tunajua tabu ya hapo.Nyie kila kitu kupinga tuu sijui mkoje.
Nchi yenye chuki ya kiwango hiki haiwezi kudumu ni suala la muda tu we Chato yao watakuwa huru na sisi wa Mtemi Mkwawa tutakuwa na nchi yetu.Haiwezi kusamabaratika maana yule kibaraka wa mabeberu hawezi kuwa rais
Hii ndio sababu inayosababisha chadema isijenge ofisi?Ccm hawajajenga ofisi yoyote ya kwao mkuu. Hizo mali zote za CCM ni za umma na ilitakiwa pale 1992 vyote virudishwe serikalini.
Kimsingi hizo ofisi sijui viwanja vya mpira vya CCM inatakiwa virudishwe vyote serikalini ili watumie ruzuku kujenga ofisi zao. Kujua haya huhitaji akili nyingi
Watz wanataka mabadoriko