Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Thubuutuuuuuu, hapo ni sawa na kuisubiria MV mapinduzi ubungo bus terminalHili pia ni swali linalojitegemea..... Ngoja gerson msigwa aje atuambie
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thubuutuuuuuu, hapo ni sawa na kuisubiria MV mapinduzi ubungo bus terminalHili pia ni swali linalojitegemea..... Ngoja gerson msigwa aje atuambie
Kwahiyo kwasababu kiongozi fulani kwakuwa ana mamlaka ya kutumia kodi za Watanzania basi azitumie atakavyo hata kama watu watapigika? Hapana!Ulitaka lijengwe wap? Yaan watu waendelee kuvuka Kwa mitumbwi, mbna watu mna ukabila sana aisee, wewe ukipata kazi nzur kwenu utapasahau? Mbna wachaga walipata Elimu wa Kwanza wakapata nyazifa serikalini wakajenga kwao, barabara, maji umeme na wakajiwekea Kilimanjaro international Airport, Leo daraja kujengwa mwanza imekuwa nongwa, watu mna roho mbaya Sana!
Hata mfalme Daud alipopata ufalme alihamishia makao makuu Yerusalemu mji wa kwao wa kabila la Yuda, na kamanda mkuu wa majeshi akawa mtoto wa dada akee.
Biblia inasema mtu anayewasahau wa kwao ni mtu mbaya kuliko asiyeamin. Watanzania tupunguze wivu na chuki.
Daraja lile ni muhimu sanaKwahiyo kwasababu kiongozi fulani kwakuwa ana mamlaka ya kutumia kodi za watanzania basi azitumie atakavyo hata kama watu watapigika? Hapana!
Hawa sio Chadema original bali Chadema Virus,wanaichafua sijui wanatumwa na nani.ILA UMESUBIRI MANTIKI YA KUONA MAMIA YA WATANZANIA WANAOISHI MWANZA NA GEITA WAMEZAMA NA KUTEGETEA NA VIVUKO VYA BUSISI NA KAMANGA NA KIGONGO.
HIVI CHADEMA KITU GANI KIMEWAVURUGA?
Kwasababu hujui umuhimu wake na faida zake.Ila 700B ni nyingi, halafu daraja lina urefu wa 3km. 700b unaweza kujenga barabara ya lami ya 500km
Umeelewa msingi wa hoja lakini?Kwan hzo kodi zinatumika Uganda? Chato na mwanza sio watanzania , unataka watanzania wa wap?
Unajua watu wengine hawajui faida yake na jinsi litakavojilipa.ikiwa siku mmoja litaingiza sh million 10 kwa siku,kwa mwaka ni siku 365 mara 10,000,000=3,650,000,000 ni biliion 3.65Hilo daraja litakuwepo kea miaka 600, kila siku likiingiza 10m kwa miaka 600 si ni faida? Hizi ferry zinaendeshwa kea hasara safari mmoja unatumia mafuta ya 5m wakati nauli ni mianne kea kichwa huoni hiyo hasara?
Hahaaaa...... Kazi yao kumdanganya kwa kumwambia anapendwa ili wapate vyeo lkn mtaani hakuna anayetaka kusikia hizo takataaka za ccmThubuutuuuuuu, hapo ni sawa na kuisubiria MV mapinduzi ubungo bus terminal
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania wameichoka ccm, haijawahi kutokea kipindi chochote kile.Hahaaaa...... Kazi yao kumdanganya kwa kumwambia anapendwa ili wapate vyeo lkn mtaani hakuna anayetaka kusikia hizo takataaka za ccm
Wajinga ni wengi! Unataka daraja lirudishe pesa hizo kwa nani? Hiyo ni biashara?Sasa ngoja hilo daraja likamilike uone watakaopita hapo kama watakuwa wengi kuzidi feri. Hivi unajua kurudisha bilioni 700 wewe! Hizo hela ni nyingi sana kwa kuelekeza kwenye mradi kama ule. Anyway ila Jiulize kwanini hata yeye Magufuli anahisi alifanya kitu kisicho na tija hadi anahimiza waharakishe ili Rais mwingine asije akaufuta huo mradi.