Bado ni kitendawili waliofaidi mabilioni ya Justine Kasusura

Ona sasa Bongo muvi wanakufa njaa, na wakati kuna mchongo kama huu wa hela. Imagine wangeteneneza muvi kali ya kumhusisha huyu mwamba, leo hii wangekuwa wapi!!
 
Kikubwa waafrika hakuna mshikamano na watu njaa sana dili kama hizo unazikwa fasta hasa kama unacheza na ndugu,, hao jamii nyingine wanabebana mtu anapiga tukio hata ashikwe akae miaka 10 ndani akitoka fungu lake lipo,,, huku watakuto....... ea hadi waifu wako na binti zako
 
Mwezi August 2001, on average exchange rate kati ya TZS na USD ilikuwa 1 USD=TZS 897.70 na kwa hali hiyo USD 2M ilikuwa ni takriban TZS 1.80 BILLION

Chanzo:
 
Upo sahihi sana, ilikuwa milioni 200 kasoro kufika TZS 2B. Ila thamani ya shilingi wakati huo pia ilikuwa kubwa sana
 
Mimi ningezificha, then ningewaacha cops wanikamate,nipambane mahakamani.
Ange change hata dola 100,000/ tu za kupambana mahakamani na kuwanunua askari magereza niishi kifalme.
Nawafahamu watu kadhaa wapo ndani ila hats msosi wa jela hawaujui.
 
Ishu ukiiba pesa na kufanikiwa kutokomea kama mwamba hapo inatakiwa u stay low key uwe mvumilivu hata miaka ipite ndio uanze ku spend....

Sio mda wa kulewa ni mda wa act upo choka mbaya unalima vibarua mashamban huko had joto lipoe
Ukalime bibarua ugongwe na nyoka ufe [emoji23]
 
Mimi ningezificha, then ningewaacha cops wanikamate,nipambane mahakamani.
Ange change hata dola 100,000/ tu za kupambana mahakamani na kuwanunua askari magereza niishi kifalme.
Nawafahamu watu kadhaa wapo ndani ila hats msosi wa jela hawaujui.
Kama yule marehemu Lihumba mzee wa kuhonga gari nyekundu. Inasemekana aliishi kidon sana gerezani
 
Unaongeaongea tu Kama shangazi yako!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…