king kunta j
Senior Member
- Jul 21, 2021
- 124
- 85
He was the best kwenye mengine ila kwa wafanyakazi he was just a badluckWatanzania wenye mtindio wa ubongo na wavutabange walijitahidi kumponda JPM lakini he was the best.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
He was the best kwenye mengine ila kwa wafanyakazi he was just a badluckWatanzania wenye mtindio wa ubongo na wavutabange walijitahidi kumponda JPM lakini he was the best.
Unajua wengine sio wafanyakazi au ndo wale praise and worship teamHe was best? Alipandisha % ngapi enzi za utawala wake?
Ni nchi gani ambayo Bei za bidhaa zipo vile vile??Ubora wa rais hautokani na kupandisha mishahara, ni bora mishahara iwe ya kawaida lakini mfumuko wa bei udhibitiwe. Angepewa muda wa kutosha nchi hii ingeenda mbali sana.
UrusiNi nchi gani ambayo Bei za bidhaa zipo vile vile??
Bado anaupiga mwingi..KwendraWatamwelewa sana.
Walianza na kauli ya kwamba mama anaupiga mwingi. Sasa wamepoteana.
Ukweli ni ukweli. Bahati mbaya sana TZ tumezoea kudanganywa danganywa. Ukinyoosha kama alivyofanya mzee wetu, RIP, watu wanashangaa.
Where is he[emoji1787][emoji1787]..tupo na mama now msichokubali nyinyi the guy is no moreHe was and will remain so
Jamaa alishaondoka. Tusi.jadili.Bado anaupiga mwingi..Kwendra
Hatupingi wala hatuna namna. Tunaongelea ujinga wetu. Ujinga ambao unatumalizaWhere is he[emoji1787][emoji1787]..tupo na mama now msichokubali nyinyi the guy is no more
Ujinga gani tusubiri July chiefHatupingi wala hatuna namna. Tunaongelea ujinga wetu. Ujinga ambao unatumaliza
Nenda..Urusi
Tumfufue alafu tumpe mitano tenaUbora wa rais hautokani na kupandisha mishahara, ni bora mishahara iwe ya kawaida lakini mfumuko wa bei udhibitiwe. Angepewa muda wa kutosha nchi hii ingeenda mbali sana.