Bado Rais Samia haja-calculate mshahara

Bado Rais Samia haja-calculate mshahara

Ubora wa rais hautokani na kupandisha mishahara, ni bora mishahara iwe ya kawaida lakini mfumuko wa bei udhibitiwe. Angepewa muda wa kutosha nchi hii ingeenda mbali sana.
Ni nchi gani ambayo Bei za bidhaa zipo vile vile??
 
Watamwelewa sana.
Walianza na kauli ya kwamba mama anaupiga mwingi. Sasa wamepoteana.

Ukweli ni ukweli. Bahati mbaya sana TZ tumezoea kudanganywa danganywa. Ukinyoosha kama alivyofanya mzee wetu, RIP, watu wanashangaa.
Bado anaupiga mwingi..Kwendra
 
Kwani huyo JPM alifanya nini kwa watumishi zaidi ya vitisho tu Bora hata huyu aliyetuahidi jambo letu mwezi july
 
Acheni kukopa kopa ovyo watu mmekasirika mama kutosema kiwango cha ongezeko la mshahara mnapanic acheni kukopa kopa
 
Ubora wa rais hautokani na kupandisha mishahara, ni bora mishahara iwe ya kawaida lakini mfumuko wa bei udhibitiwe. Angepewa muda wa kutosha nchi hii ingeenda mbali sana.
Tumfufue alafu tumpe mitano tena
 
kwani kwenye bajeti ya utumishi kuna sehemu pameandikwa mwaka huu kuna ongezean la mshahara ? au nimm outdated
 
Back
Top Bottom