Bado sijaelewa lengo kuu la kufufuliwa kwa "Kisumu port"

Bado sijaelewa lengo kuu la kufufuliwa kwa "Kisumu port"

Nani amekuambia geza eti hatuna $2 bn. Geza wachanga madharau saa zingine. Yaani wewe hujui budget yetu this year ni $30 bn? Duh wewe unajua mambo mengi kuhusu Kenya unajua tunaeza afford kujenga sgr kutoka Mombasa hadi Nairobi kila mwaka na tutabaki na change. Shida ni corruption na stupidly high wage bill. 2% of Kenyans get paid 50% of budget according to President Uhuru's speech in state of the nation adress. Kenya ina pesa vibaya sana, tatizo ni inatumika aje? Usije tena siku nyingine kuuliza kama tuna pesa, afadhali uhoji pesa inaenda wapi
Heeeee eti bajeti yenu poor tony bajeti ya Kenya siyo Mali ya mwananchi ni Mali ya Uhuru na familia yake na marafiki wake
 
Hiyo ni opinion yangu na kila mtu ako na right ya kusema anachotaka.
Sawa. Acha tuone kama jito la jiwe atafikisha ujumbe maana kina Uhuru, ruto na wengineo hawajui kama kuna kitu kinaitwa jf.. Wangesoma malalamiko yako..
Heee tony ujui huyo anaitwa miss kibera original
Ukivunja makaazi ya kibera lazima ahandamane
 
Nani amekuambia geza eti hatuna $2 bn. Geza wachanga madharau saa zingine. Yaani wewe hujui budget yetu this year ni $30 bn? Duh wewe unajua mambo mengi kuhusu Kenya unajua tunaeza afford kujenga sgr kutoka Mombasa hadi Nairobi kila mwaka na tutabaki na change. Shida ni corruption na stupidly high wage bill. 2% of Kenyans get paid 50% of budget according to President Uhuru's speech in state of the nation adress. Kenya ina pesa vibaya sana, tatizo ni inatumika aje? Usije tena siku nyingine kuuliza kama tuna pesa, afadhali uhoji pesa inaenda wapi

Na kule mliendanga China, Uhuru na Raila wakaambulia dili ya maparachichi. Hukumbuki mlichofuata?
 
The road leading to Kisumu port is 99% complete. The port part isn't complete and that's the main reason why it wasn't launched today.
FB_IMG_15658853137782972.jpeg
FB_IMG_15658853393789907.jpeg
FB_IMG_15658853325058333.jpeg
FB_IMG_15658853444634078.jpeg
 
Back
Top Bottom