Bado sijaelewa lengo kuu la kufufuliwa kwa "Kisumu port"

Hata kama reli yenu inaweza kuleta contena 500 hadi mwanza, hio meli yenu ya Rail-Marine-Rain ina uwezo wa kubeba only 880 tones ambazo ni sawa na only 44 containers!!!!! Kwahivyo reli ikifika Mwanza ni contena 44 pekee ndo zitasafirishwa juu ya meli, hizo zengine zitabaki Mwanza hadi Kesho yake...

Alafu hapo unaposema eti uzito wa lorry bla blah blah, FYI, Lorry ikiwa empty Trailer hua na uzito wa approx 7 tones, Empty wagon hua na approx weight of 13 tones...

Alafu mzigo ukiwa juu ya Gari hautalipiwa loading fee, wala storage fee wala service charges, manake dereva ndo ataendesha gari hadi ndani ya meli ... gharaama ambayo atalipia ni transport fee ambayo hata wale wanaotumia rail-Marine-rail bado wanalipia...
Exactly my point. The guy can't understand such a simple thing
 
Hapo nimeweka bold, hebu tueleze kwanini reli ya central-corridor ilianza kuyumba kama ilikua profitable?????
Kumbuka wakati huo pia Reli ya Nortthern-corridor ilikua inaenda moja kwa moja hadi Kampala, nayo pia ilikufa na mizigo ya Uganda ikaishia kupitia bara bara... Hebu nieleze sasa ni nini kimegeuka???
NI nini kitafanya hio central corridor yenu kupata faida sasa kama mulishindwa enzi hizo???
Kama utakumbuka vizuri, WB na IMF walilazimisha nchi zetu kutojihusisha kufanya biashara chini ya mpango ujulikanao kama "structure development Program", walikataa kwa serikali kutoa ruzuku kwa mashirika ya umma.

Tanzania kama nchi yakijamaa, mashirika ya umma lengo lake haikua kutengeneza faida, lengo lilikua ni kutoa Huduma, kwahiyo ruzuku ya serikali ilikua ni muhimu Sana kama ilivyo kwa KQ kwasasa.
 
Nadhani ulimaanisha Structural adjustment programme (SAPs) na ulivyosema ni kweli, zilimaliza Africa
 
Hata kama reli yenu inaweza kuleta contena 500 hadi mwanza, hio meli yenu ya Rail-Marine-Rain ina uwezo wa kubeba only 880 tones ambazo ni sawa na only 44 containers!!!!! Kwahivyo reli ikifika Mwanza ni contena 44 pekee ndo zitasafirishwa juu ya meli, hizo zengine zitabaki Mwanza hadi Kesho yake...

Alafu hapo unaposema eti uzito wa lorry bla blah blah, FYI, Lorry ikiwa empty Trailer hua na uzito wa approx 7 tones, Empty wagon hua na approx weight of 13 tones...

Alafu mzigo ukiwa juu ya Gari hautalipiwa loading fee, wala storage fee wala service charges, manake dereva ndo ataendesha gari hadi ndani ya meli ... gharaama ambayo atalipia ni transport fee ambayo hata wale wanaotumia rail-Marine-rail bado wanalipia...
Tatizo haujibu maswali badala yake unauliza maswali.
1)Kama Lori 50 zimefika Kisumu port, na uwezo wa meli kubeba ni 20 lories, unahisi mwenye lory atakubali kusubiri wakati anaweza kutembea na kufika haraka. Kumbuka akipakiza gari lake ktk meli, speed ya meli ni chini ya 40km/h, wakati akitembea anaweza kufika 70km/h.

2)Kama ni wewe ndiye unayefanya biashara ya lories, utakubali kulipa pesa/ kumpa biashara "competitor" wako?, kwasababu hata meli pia inafanya biashara ya transportation.
 
Sijui kwanini watu wanajifanya wajuaji
.This is only a small part of the SGR master plan ambayo Ina husisha Uganda, Rwanda, Drc ,southsudan na Ethiopia .
The project is being undertaken by Kenya railways and the main contractor for this project is( CRBC).
Kenya Navy also has a stake in the project.
Pia ikumbukwe Kisumu oil jetty ,Eldoret oil Depot ,na kipevu oil terminal (Mombasa ) zisha malizika .
Anyone who has a brain knows what that means for Uganda ,and Southsudan Oil.
Hayo mengine ni siasa na propaganda za wanaotokwa na povu.
Anyway watch this space
 
Acha kujiliwaza, Rwanda na DRC walishatoka na kujiunga na Tanzania, Ethiopia alishahenga reli kuunganisha na Djibouti, SGR imekosa pesa imeishia Naivasha. Hizo ndoto zako za LAPSET iliyokufa pamoja "Coalition of the Willing" baki nazo mwenyewe.
 
Hayo ni maoni yako mwenyewe.Ila sitaki kubishana na wewe endelea kuota.
 
Ningependa kushirikisha mawazo yangu ili kuibua mjadala kuhusu bandari ya Kisumu ambayo punde tu itakusanya marais 5 kuizindua. Nimefikiria sana kuhusu hii bandari umuhimu wake kwa sasa, bado sijapata muunganiko wake.

Bandari ya Kisumu iliacha kufanyakazi zaidi ya miaka 12 iliyopita, sababu kubwa iliyosababisha kudorora pamoja na mambo menigine, ni kutokana na wafanyabiashara wengi wa Uganda kutumia usafiri wa reli na barabara, ambao ukipakia "cargo", hazishushwi hadi Uganda, yaani gharama za upakiaji na ushushaji ni Mara mbili tu.

Kwasababu hiyo, reli ya kuelekea Kisumu ilikosa mizigo na kuachwa ikajifia kabisa, kutokana na naekezo ya James Macharia, reli kuelekea Kisumu inahitaji kujengwa upya sio kukarabatiwa. Swali ninalojiuliza, kama hakuna reli inayoelekea Kisumu, je bandari ya Kisumu inaungana vipi na Mombasa, au Kisumu Port haitegemei mizigo ya Uganda na DRC?.

Bila shaka "Kisumu port" lengo lake ni hizi nchi za Uganda na DRC, je itatumia mfumo upi wa usafirishaji ambao utakua ni bei nafuu na ni haraka. Tumeambiwa bandari ya Mwanza itatumia mfumo wa "Railway - Marine - Railway", ambao ni " integrated ", yaani mabehewa hayashushi mizigo kutoka Dar- hadi Kampala au Jinja Uganda, Kisumu port itatumia mfumo upi kama hakuna reli inayofika Kisumu?.
Yawezekana inaandaliwa kupokea mizigo kutoka mwanza
 
Kisumu port is close to completion.
FB_IMG_15660602227532204.jpeg
 
Hapo nimeweka bold, hebu tueleze kwanini reli ya central-corridor ilianza kuyumba kama ilikua profitable?????
Kumbuka wakati huo pia Reli ya Nortthern-corridor ilikua inaenda moja kwa moja hadi Kampala, nayo pia ilikufa na mizigo ya Uganda ikaishia kupitia bara bara... Hebu nieleze sasa ni nini kimegeuka???
NI nini kitafanya hio central corridor yenu kupata faida sasa kama mulishindwa enzi hizo???
Jibu ni "serikali bora" na " viongozi bora" siyo "bora serikali" na "bora viongozi" kama kenya
 
Kama utakumbuka vizuri, WB na IMF walilazimisha nchi zetu kutojihusisha kufanya biashara chini ya mpango ujulikanao kama "structure development Program", walikataa kwa serikali kutoa ruzuku kwa mashirika ya umma.

Tanzania kama nchi yakijamaa, mashirika ya umma lengo lake haikua kutengeneza faida, lengo lilikua ni kutoa Huduma, kwahiyo ruzuku ya serikali ilikua ni muhimu Sana kama ilivyo kwa KQ kwasasa.
Wewe na wenzio kila siku hua mnaikashifu WB,IMF kwa kuionea Tz Leo hii inatumia mawaidha yake!?
Anyway, Sasa mbona ulianzisha hii thread ukisema huoni faida ya kufufua Kisumu port? Si wakaazi wa Kisumu watakua wanaeza faidi kwa kufanya biashara na miji inayozunguka l.victoria hata kama Kisumu port yenyewe haitakua inatengeneza faida?
Haya funga mjadala bas manake naona umeji jibu mwenyewe.
 
Jibu ni "serikali bora" na " viongozi bora" siyo "bora serikali" na "bora viongozi" kama kenya
Magu pekee hawezi geuza utendakazi wa Tz, yeye kazi yake ni kufuta wale anaona hawatendi kazi na kuandika wengine....
Wale wanaoendesha makampuni yenu ya kiserekali ndo Wana jukumu kuu.... Swali ni simple, ni mbinu ghani ambazo watatumia kuhakikisha hio reli ya central corridor haitakufa kama hapo awali?
 
Tatizo haujibu maswali badala yake unauliza maswali.
1)Kama Lori 50 zimefika Kisumu port, na uwezo wa meli kubeba ni 20 lories, unahisi mwenye lory atakubali kusubiri wakati anaweza kutembea na kufika haraka. Kumbuka akipakiza gari lake ktk meli, speed ya meli ni chini ya 40km/h, wakati akitembea anaweza kufika 70km/h.

2)Kama ni wewe ndiye unayefanya biashara ya lories, utakubali kulipa pesa/ kumpa biashara "competitor" wako?, kwasababu hata meli pia inafanya biashara ya transportation.
Actually ukienda na meli ni kama kutumia shortcut, kuliko kuenda na barabara..... Water transport ndo the cheapest mode of transport, hizo lori ishirini most likely zitalipa pesa kidogo kuliko gharama ya mafuta kutoka Kisumu hadi kampala ambayo ni 310km... fully loaded truck inakunywa kama 1.6L per km (atleast!) kama diesel ni ksh 100 per liter. 310km x 1.6 x 100 = 49,600 sh..
Hio 49,600 ni mafuta ya gari moja pekee, lakini kwavile meli itabeba hizo lory ishirini kwa mpigo, utakuta labda wanalipishwa kama 25,000 per lorry... Tena kumbuka malori hua yanapiga foleni pale kwa mpaka yakingoja kuvuka boda, mara nyengine hata hulala hapo, mbali na hilo, barabarani hua kuna magari mengine kwahivyo hio speed ya 70km/hr hauwezi uka maintain kwa lori ilhalli hio equivalent ya 40km/hr kule baharini hakuna msongamano wowote....
 
Wewe na wenzio kila siku hua mnaikashifu WB,IMF kwa kuionea Tz Leo hii inatumia mawaidha yake!?
Anyway, Sasa mbona ulianzisha hii thread ukisema huoni faida ya kufufua Kisumu port? Si wakaazi wa Kisumu watakua wanaeza faidi kwa kufanya biashara na miji inayozunguka l.victoria hata kama Kisumu port yenyewe haitakua inatengeneza faida?
Haya funga mjadala bas manake naona umeji jibu mwenyewe.
Wenzako wenye akili wameelewa vizuri kuhusu wasiwasi wangu, inaonekana uwezo wako wa kuelewa mada ngumu Kama hizi ni mdogo sana, muombe Tony254 akueleweshe nilichokusudia.
 
BOQ unamaanisha nini?
A bill of quantities (BOQ) is a document used in tendering in the construction industry / supplies in which materials, parts, and labor (and their costs) are itemized.
 
Actually ukienda na meli ni kama kutumia shortcut, kuliko kuenda na barabara..... Water transport ndo the cheapest mode of transport, hizo lori ishirini most likely zitalipa pesa kidogo kuliko gharama ya mafuta kutoka Kisumu hadi kampala ambayo ni 310km... fully loaded truck inakunywa kama 1.6L per km (atleast!) kama diesel ni ksh 100 per liter. 310km x 1.6 x 100 = 49,600 sh..
Hio 49,600 ni mafuta ya gari moja pekee, lakini kwavile meli itabeba hizo lory ishirini kwa mpigo, utakuta labda wanalipishwa kama 25,000 per lorry... Tena kumbuka malori hua yanapiga foleni pale kwa mpaka yakingoja kuvuka boda, mara nyengine hata hulala hapo, mbali na hilo, barabarani hua kuna magari mengine kwahivyo hio speed ya 70km/hr hauwezi uka maintain kwa lori ilhalli hio equivalent ya 40km/hr kule baharini hakuna msongamano wowote....
Kama kawaida yako, mzee wa "theory", tuambie gharama za kusafirisha tani moja/container moja toka Mombasa hadi Kampala, hiyo ndio pesa Mwenye Lori atapokea toka kwa mwenye mzigo.

Lori likipitia Kisumu port, mwenye Lori atalazimika kulipa gharama za tani moja/ container moja toka Kisumu hadi port bell, plus gharama za lori . lete hizo gharama tulinganishe, acha kuleta theory.
 
Back
Top Bottom