Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,085
- 9,022
Mpira wa bongo ndio ulivyo,.. Simba na Yanga zinatakiwa kushinda mechi zote, zikishindwa utasikia kuna hujuma.... ujinga mtupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiuhalisia uko sahihi kabisa, lakini inawezekana pia kucheza mechi nje ya uwanja( sio kwa uchawi), bali match fixing.Mimi huwa nafuatilia pia Mechi za Yanga, kiukweli sijaona tofauti kubwa sana ya kiuchezaji au kiupambanaji.
Tofauti pekee ni kuwa Yanga wanafanya juu chini wapate walau Goli moja na kuhakikisha hawaruhusu goli...ukitoa ile mechi yao na Namungo ambapo ilibidi Refa ajiongeze lakini Wazee Wenzetu nao walikuwa wameshikwa pabaya na walikuwa wanapoteza...