Bado sijaona kama kuna sababu za nje ya uwanja zinazosababisha Simba kukosa matokeo, tuache kukuza mambo

Mpira wa bongo ndio ulivyo,.. Simba na Yanga zinatakiwa kushinda mechi zote, zikishindwa utasikia kuna hujuma.... ujinga mtupu
 
Kiuhalisia uko sahihi kabisa, lakini inawezekana pia kucheza mechi nje ya uwanja( sio kwa uchawi), bali match fixing.

Hata hivyo sina maana kwamba yanga au simba wamefanya hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…