Bado sijaona kosa alilofanya Kiboko wa Wachawi am ambao wapinzani wake wa kilokole hawafanyi

Bado sijaona kosa alilofanya Kiboko wa Wachawi am ambao wapinzani wake wa kilokole hawafanyi

Kama ni kulipisha pesa wanaokwenda kumuona hiyo walokole wote magwiji Dunia nzima wanafanya.

Kqma ni kuhadaa, manipulations, brainwashing, hypnosis na ujanjaujanja wa kuwatapeli wasiojitambua Kiroho Kila jumapili ulokoleni yanafanyika.

Wahubiri wa kubwa wote wanaomiliki makanisa na vilinge vya maombezi sio I kama wanatofauti na Huyu BWANA mkubwa.

Sijajua kitu kikubwa ambacho amekosea ambacho akirekebisha kanisa lake lifunguliwe.

Note: Simuamini na Hwa simzingazii sawasawa na watu wa Aina yake nchini na Dunia kote Ila sijaona sababu kubwa ya kumtofautisha na wenzake. Labda awe hajasajiliwa.
Kwanza ni mgeni, halafu anaharibu madili ya watu akina Suguye na MWAMPOSA ambao wanadeal na akina Makonda. Biteko pia haukumwona Kwa Suguye? Iweje aendelee kusumbua? Akwende zake. Hii nchi ngumu sana.
 
Hii nimeshawahi kusema. Ni kusambaza uchonganishi katika jamii.
Kuna Dreva mmoja wa Gari ya mizigo alinipa stori. Ndugu zake wanamchukia na wamevurugana kisa mmoja wa unabii maarufu kimara aliwaambia yeye ndiye anawaloga. Alienda kwa unabii kuconfess kuwa hausiki na kama anauhakika wamtolee huo uchawi awe mtu Mwema wakamfukuzia malango I.

Sasa bila kuwa na moderators kwenye hizi kanisa wanaweza kuchochea chuki na kuharibu jamii kwa visingizio vya unabii na ushirikina usio na ushahidi.
Kuhani
Mussa huyo ashagombanisha sanaa familia huyu
Watu hawazikani kwa sababu hiyo kuna mambo ameyafanya kwenye familia ya dada angu huyu mtu sio mzuri Kabisa
 
Kama ni kulipisha pesa wanaokwenda kumuona hiyo walokole wote magwiji Dunia nzima wanafanya.

Kqma ni kuhadaa, manipulations, brainwashing, hypnosis na ujanjaujanja wa kuwatapeli wasiojitambua Kiroho Kila jumapili ulokoleni yanafanyika.

Wahubiri wa kubwa wote wanaomiliki makanisa na vilinge vya maombezi sio I kama wanatofauti na Huyu BWANA mkubwa.

Sijajua kitu kikubwa ambacho amekosea ambacho akirekebisha kanisa lake lifunguliwe.

Note: Simuamini na Hwa simzingazii sawasawa na watu wa Aina yake nchini na Dunia kote Ila sijaona sababu kubwa ya kumtofautisha na wenzake. Labda awe hajasajiliwa.
tofautisha walokoke na huyu mchawi. huyu mweke fungu moja na mwamposa, geordevi, suguye na wahuni wengine wa injili. usichafue walokole tafadhali.
 
Back
Top Bottom