johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahaha.......siku hizi 2 x 2 ndio Luxury bila kujali vigezo vingineScandinavian ndio lilikuwa basi la kwanza la kuwa Luxury kwa miaka hiyo. Ilikuwa ni mwendo wa AC Dar to Kampala.
ilfanya hata watoto wa kishua wahamie kwenye kutumia mabasi hayo kwenda shule badala ya ndege. Bila kusahau kwenda kuchukua miamala inayotumwa na wazazi.
Those were the days. Siku hizi ukiambiwa bus Luxury unakutana kwanza na harufu ya uvundo.
Mafisadi waliingiza mabasi yao kwenye kampuniNini kiliiangusha hii kampuni? Naikumbuka toka inaanza mpaka ikawa kampuni kubwa, wakati ule hata pesa tulisafirisha na kupokea kupitia kwao(kabla ya SIM Money transfers).
Scandinavia angeendelea sasa hivi angekuwa ndio.kampuni kubwa ya mabasi Tanzania nzimaScandinavian ndio lilikuwa basi la kwanza la kuwa Luxury kwa miaka hiyo. Ilikuwa ni mwendo wa AC Dar to Kampala.
ilfanya hata watoto wa kishua wahamie kwenye kutumia mabasi hayo kwenda shule badala ya ndege. Bila kusahau kwenda kuchukua miamala inayotumwa na wazazi.
Those were the days. Siku hizi ukiambiwa bus Luxury unakutana kwanza na harufu ya uvundo.
Walifilisiwa na mabank mkuuScandinavia angeendelea sasa hivi angekuwa ndio.kampuni kubwa ya mabasi Tanzania nzima
Wateja.walikuwepo na walipenda ile kampuni
Jina ilishalijenga tayari brand tena kubwa sana enzi zile
Sema tu wakurugenzi kama waliona iko shida wangeuza kampuni nzima kwa anayeweza kama au wangetafuta nje ya nchi wawekezaji waichukue iendelee
Mimi hata sijui sababu ya kufa ile kampuni wakati wateja walikuwepo
Hata hao mabenki ilibidi wakae na wamiliki watafute wawekezaji au mabenki yenye yanga take over management ya kampuni waendeshe wao ila kampuni iendelee na wao wakusanye pesa zao badala ya kuifilisi.Walifilisiwa na mabank mkuu
Siyo mabenkiWalifilisiwa na mabank mkuu
Natumia sana usafiri wa Mabasi bado sijaona mbadala wa Scandinavian kwa kweli
Hawa akina Sauli, Shabiby sijui ABC bado saaana aisee
Scandinavian Ilikuwa Bora kuanzia kwenye vyuma vyenyewe yaani SCANIA tupu hakuna Layland hadi kwenye Huduma
Ligi ya sasa ni Vyuma vya mchina aka Kambi Popote
Mungu wa mbinguni mbariki mzee Abdullah na Bob Said pale Iringa
Mzee AbdullahScandinavian buses yalikua ya nani?
Alitengeneza reputation yake nzuri ila msipate upofu Bado Kuna kampuni zinatoa service nzuri za mabasi kushinda hizo gari mseme mmezimiss hizo basi tu.Mkuu hii mada ninakubaliana nawe 100%,Scandinavian Express ilikua super inakuondoa Dar 06:00am to Tunduma, saa 17:00ndani ya border, 20:00hrs from nakonde by 05:00am,ni good morning Lusaka Bus Terminal, hii bus ilikua hadi ndani ya zambia hakuna bus ilikua inaikamata(elewa buses zingine zilikua zinaondoka nakonde by 18:00!,lakini Kapiri Mposhi bus ya kwanza kupiga hodi pale ni Scandinavian iliyoondoka 20:00),salute salute kwa Scandinavian Express
Mzee Abdullah
Dar es salaam ila kijana wake Bob Said anaishi Iringa mjiniWawapi? Mbeya?