Hope's mkuu mada hii tusiijadili kisiasa, yes I mic service za Scandinavian Express, sijaona kampuni nyingine imefikia even half ya standard ya Scandinavian Express, kwanza ilikua na staff's wako well trained na wamemotishwa,kuanzia kukata ticket, kusubiria pale mapokezi, boarding hadi njiani wapo Safi kabisa,iam Sauli Team now ila ninaelewa what's to expect ninapokua ndani ya bus la Sauli, 1min to do number 1,number 2 sidhani utakua na muda huo, 3mins to order your food na kuingia nacho ndani ya bus,then nduki!,but Scandinavian ilikua tofauti n still unafika border on time na bila stress, nope hakuna kama kampuni Ile,I swear