Bado sijaona mbadala wa Scandinavian katika usafiri wa Mabasi. Nauli ilitofautiana kwa aina ya SCANIA

Bado sijaona mbadala wa Scandinavian katika usafiri wa Mabasi. Nauli ilitofautiana kwa aina ya SCANIA

Scandinavia angeendelea sasa hivi angekuwa ndio.kampuni kubwa ya mabasi Tanzania nzima

Wateja.walikuwepo na walipenda ile kampuni

Jina ilishalijenga tayari brand tena kubwa sana enzi zile

Sema tu wakurugenzi kama waliona iko shida wangeuza kampuni nzima kwa anayeweza kama au wangetafuta nje ya nchi wawekezaji waichukue iendelee

Mimi hata sijui sababu ya kufa ile kampuni wakati wateja walikuwepo
Angekuwa anamiliki ndege na airport zake
 
Scandinavia angeendelea sasa hivi angekuwa ndio.kampuni kubwa ya mabasi Tanzania nzima

Wateja.walikuwepo na walipenda ile kampuni

Jina ilishalijenga tayari brand tena kubwa sana enzi zile

Sema tu wakurugenzi kama waliona iko shida wangeuza kampuni nzima kwa anayeweza kama au wangetafuta nje ya nchi wawekezaji waichukue iendelee

Mimi hata sijui sababu ya kufa ile kampuni wakati wateja walikuwepo
Ndo hivo kama hujui endelea kunyamaza tu..ni upumbavu wa hali ya juu kujidai unajua kwenda na wakati et sa 12 on-time alafu muda huo gari inaabiria 12 unatoa gari DSM kwenda arusha ..sheli unadaiwa ,service gari , dere alipwe

Hio kampuni ingekuwa mnavowaza wala isingekufa
 
Hawa hawajafikia hata nusu yake mkuu kama kweli ulipanda bus za Scandinavian
Kwa lipi? Je zilikuwa zinapaa? Au mwisho wa safari alikuwa anarudisha nauli? Kipi kilikuwa ni special ambacho mabus mengine hayakifanyi?
 
Kwa hiyo mkuu una ushahidi wa kutosha kuwa hicho kitu hakijawahi kutokea kabisa kwenye scanivia. nyie mmeimiss scaninavia zaidi ya hapo hoja zenu ni very weak ndio Yale ya kumuongelea marehemu mazuri yake pekee
Nahisi hukuzikuta zikiwa zinatoa huduma hivyo ni sahihi kwako kupingana na wanaoeleza ubora wake wa huduma

V Hao uliowataja hawajafikia hata urefu wa route alizokuwa anakwenda scandinavia kwa urefu na huduma za hali ya juu kwa abiria, mizigo na pesa tena bila kuchoka wahudumu na abiria
Hao uliowataja pale juu hiyo tuu safari ya Dar - Dom wahudumu huanza kuwachoka abiria na full makasiriko je wangekuwa wanakwenda Kampala si wangekuwa wanawapiga mabanzi abiria.... Na abiria nao huanza kuichoka safari kwa setting za seats, harufu za uvundo na kutojaliwa
Hajatokea wa kuwazidi wala kutukumbusha huduma za scandinavia bus service, asilani
 
Kati ya yeye na dar ex Nani Bora Sasa ..huyo mnaemsifia gari zake ziliuzwa Kama nyanya
 
Kati ya yeye na dar ex Nani Bora Sasa ..huyo mnaemsifia gari zake ziliuzwa Kama nyanya
Gari zilizouzwa ni za akina Kigoda, Sumayr, Prof Mark na za mama.

Waliuza kwa kuogopa scandal Siasani tena naniliu truest nyingine alizitupa mule Ubungo bus terminal akaziokota meku fulani
 
Back
Top Bottom