Uliatumia haya mabasi mkuu?Kwa hiyo mkuu una ushahidi wa kutosha kuwa hicho kitu hakijawahi kutokea kabisa kwenye scanivia. nyie mmeimiss scaninavia zaidi ya hapo hoja zenu ni very weak ndio Yale ya kumuongelea marehemu mazuri yake pekee
Niliyatumia mkuu.Uliatumia haya mabasi mkuu?
Angekuwa anamiliki ndege na airport zakeScandinavia angeendelea sasa hivi angekuwa ndio.kampuni kubwa ya mabasi Tanzania nzima
Wateja.walikuwepo na walipenda ile kampuni
Jina ilishalijenga tayari brand tena kubwa sana enzi zile
Sema tu wakurugenzi kama waliona iko shida wangeuza kampuni nzima kwa anayeweza kama au wangetafuta nje ya nchi wawekezaji waichukue iendelee
Mimi hata sijui sababu ya kufa ile kampuni wakati wateja walikuwepo
Hawa hawajafikia hata nusu yake mkuu kama kweli ulipanda bus za ScandinavianShabiby, ABC upperclass, Dar lux, Superfeo,
Acheni story za kufikirika Kwa Nini mpaka Sasa hayupo team scaninavia?Angekuwa anamiliki ndege na airport zake
Ndo hivo kama hujui endelea kunyamaza tu..ni upumbavu wa hali ya juu kujidai unajua kwenda na wakati et sa 12 on-time alafu muda huo gari inaabiria 12 unatoa gari DSM kwenda arusha ..sheli unadaiwa ,service gari , dere alipweScandinavia angeendelea sasa hivi angekuwa ndio.kampuni kubwa ya mabasi Tanzania nzima
Wateja.walikuwepo na walipenda ile kampuni
Jina ilishalijenga tayari brand tena kubwa sana enzi zile
Sema tu wakurugenzi kama waliona iko shida wangeuza kampuni nzima kwa anayeweza kama au wangetafuta nje ya nchi wawekezaji waichukue iendelee
Mimi hata sijui sababu ya kufa ile kampuni wakati wateja walikuwepo
Kwa lipi? Je zilikuwa zinapaa? Au mwisho wa safari alikuwa anarudisha nauli? Kipi kilikuwa ni special ambacho mabus mengine hayakifanyi?Hawa hawajafikia hata nusu yake mkuu kama kweli ulipanda bus za Scandinavian
Shabiby, ABC upperclass, Dar lux, Superfeo,
Scaninavia alikuwa na gari ngapi?Dar lux ana gari ngap😆
Nikuulize weweScaninavia alikuwa na gari ngapi?
Honestly sijui idadi ya magari ya kampuni yoyote ile na kutojua sio dhambi.Nikuulize wewe
Unaeza nambia kwann umemuweka dar lux hapoHonestly sijui idadi ya magari ya kampuni yoyote ile na kutojua sio dhambi.
Nahisi hukuzikuta zikiwa zinatoa huduma hivyo ni sahihi kwako kupingana na wanaoeleza ubora wake wa hudumaKwa hiyo mkuu una ushahidi wa kutosha kuwa hicho kitu hakijawahi kutokea kabisa kwenye scanivia. nyie mmeimiss scaninavia zaidi ya hapo hoja zenu ni very weak ndio Yale ya kumuongelea marehemu mazuri yake pekee
Kwani Dar lux ni ndege.Unaeza nambia kwann umemuweka dar lux hapo
Hana hata gari nneKwani Dar lux ni ndege.
Hakuna bus sahivi linafikia hata robo ya scandnavia ya miaka ile.Alitengeneza reputation yake nzuri ila msipate upofu Bado Kuna kampuni zinatoa service nzuri za mabasi kushinda hizo gari mseme mmezimiss hizo basi tu.
Mkuu umemaliza case closedHuduma siyo tu kuweka kondakta wa kike bwashee
Hayo mabasi uliyoitaja mpandishe mtoto uone kama hajapitilizwa kituo kwa haraka zao
Gari zilizouzwa ni za akina Kigoda, Sumayr, Prof Mark na za mama.Kati ya yeye na dar ex Nani Bora Sasa ..huyo mnaemsifia gari zake ziliuzwa Kama nyanya