CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Hao wote siyo lazima wawe mawinga.
Hapo Kuna wachezaji 7.
Onana7.
CHAMA 10.
Miquesson 11.
Katika wachezaji 7. Watatu wanaanza
Wanne Benchi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wote siyo lazima wawe mawinga.
So, mapendekezo yako ni yapi, hawakutakiwa kusajili? Maana wangesajili nafasi nyingine, hata hizo ungelalamika kuwa wachezaji wamezidiHapo Kuna wachezaji 7.
Onana7.
CHAMA 10.
Miquesson 11.
Katika wachezaji 7. Watatu wanaanza
Wanne Benchi.
So, mapendekezo yako ni yapi, hawakutakiwa kusajili? Maana wangesajili nafasi nyingine, hata hizo ungelalamika kuwa wachezaji wamezidi
Na mimi natembea na kauli yako hiyo hiyo, lakini kuhusu magoli ya kufungwa.Simba imefunga magoli mengi mno TZ kuliko timu YOYOTE MSIMU uliopita.
Haina shida na ushambuliaji
Yani simba sijui wana shida gani aisee na wakiambiwa ukweli wanaleta propaganda. Kuna mmoja anasema et yanga haina namba naye wa kutoa pasi za magoli wakati ashamuona pacome japo hajamuona akicheza japo na zingeli naye anaicheza vizur tu. Msimu ujao wasije tena na visingizio kabisa japo kwa imani yanga Robertinho mwishow wake msimu ujao.. simba bado ina mapungufu na moja ya kosa lingine walilofanya ni kumuachia OnyangoKwanini wachezaji wazidi???
1. UPIGAJI.
2. Uzembe WA Benchi la UFUNDI.
Simba imekosa kiungo mkabaji 6 Tangu Lwanga aumie.
Imekosa kiungo 8 kwa Miaka Mingi mno. Hapa ndipo Simba panapo mfelisha.
ANGALAU NGOMA AMESAJILIWA NAE NI 8
ANGALIA Idadi ya Mabeki na Viungo.
Akiumia Inonga au akiwa na ADHABU hakuna Replacement yake.
Alex Ferguson ALIWAHI kusema
Safu Bora ya ushambuliaji inashindwa MAGOLi.
Safu Bora ya ulinzi inashinda Mataji.
Simba imefunga magoli mengi mno TZ kuliko timu YOYOTE MSIMU uliopita.
Haina shida na ushambuliaji
Na mimi natembea na kauli yako hiyo hiyo, lakini kuhusu magoli ya kufungwa.
Simba imefungwa magoli machache mno TZ kuliko timu YOYOTE MSIMU uliopita. Haina shida na ulinzi
Hakika sijaelewa lolote hapaWanasimba acheni propaganda. Timu yenu haikua na shida mbele. Usjali wa micson ni wa kisiasa tu cha kushangaza maeneo yenu muhimu yote au mengi hayana replacement za maana. Si rahisi kusema zimbwe apewe changamoto na duchu, au kapombe na yule dogo waliyekua na mgogoro naye au uje katikati kanoute yani ni maeneo mengi kwenu bado. Nanchoamini kwa usajili wenu labda micson tu ndo Mo alotoa ela yake napo alitoa baada ya alahly kuamua kumuachia. Fungukeni
Mimi Thimba[emoji33][emoji33][emoji33][emoji33]Kweli kabisa mkuu, mm Simba ila naona Yanga wamejipanga sana.
Umeongea vizur leo hujala maharage, makolo kama nimagoli hawana mpinzan ila sasa kwapa hawainui ingebid wafanyie kaz sio kujaza mawingaKwanini wachezaji wazidi???
1. UPIGAJI.
2. Uzembe WA Benchi la UFUNDI.
Simba imekosa kiungo mkabaji 6 Tangu Lwanga aumie.
Imekosa kiungo 8 kwa Miaka Mingi mno. Hapa ndipo Simba panapo mfelisha.
ANGALAU NGOMA AMESAJILIWA NAE NI 8
ANGALIA Idadi ya Mabeki na Viungo.
Akiumia Inonga au akiwa na ADHABU hakuna Replacement yake.
Alex Ferguson ALIWAHI kusema
Safu Bora ya ushambuliaji inashindwa MAGOLi.
Safu Bora ya ulinzi inashinda Mataji.
Simba imefunga magoli mengi mno TZ kuliko timu YOYOTE MSIMU uliopita.
Haina shida na ushambuliaji
Hii kweli ni mbulukenge!
Watu mnaitukanisha saana JF.Hii Yanga isiyo na kiungo wa pasi za magoli
Isiyo na fowadi wa maana
Isiyo na kiungo wa ulinzi wa maana
Isiyo na Hela
Ikijitahidi saaana itashika nafasi ya 4 kwenye Ligi
Hii sentensi ya mwisho ya wao kumuacha Onyango imetoa tafsir ya uhakika wa kile ulichozungumza.Yani simba sijui wana shida gani aisee na wakiambiwa ukweli wanaleta propaganda. Kuna mmoja anasema et yanga haina namba naye wa kutoa pasi za magoli wakati ashamuona pacome japo hajamuona akicheza japo na zingeli naye anaicheza vizur tu. Msimu ujao wasije tena na visingizio kabisa japo kwa imani yanga Robertinho mwishow wake msimu ujao.. simba bado ina mapungufu na moja ya kosa lingine walilofanya ni kumuachia Onyango
Miqueson kanenepa kumzidi Peter MsechuSimba Wamesajili kimihwmuko.
ANGALIA idadi ya mawinga.
1. Miquesson.
2. CHAMA.
3. Saido.
4. Kramo.
5. KIBU.
6 . Opnana.
7. Phili.