antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Njia mbadala za goli la mkono zitazidi kuongeza listi ya wateja wa The HagueKwa njia halali CCM hii haiwezi toboa labda wajaribu njia mbadala ambazo ni haramu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njia mbadala za goli la mkono zitazidi kuongeza listi ya wateja wa The HagueKwa njia halali CCM hii haiwezi toboa labda wajaribu njia mbadala ambazo ni haramu!
Msingi gani, wa utekaji?!Mhe.JPM miaka mitano ya kwanza kaweka sawa msingi
Uongo mtupu, hakuna cha tawala kilicho tawala daima. Hakuna jamani!Unaposema CCM itashindwa uwe na facts ! Kwa vigezo vipi ishindwe ?ccm ina wanachama wapiga kura takriban 15 M ! Wanashindwa vipi?! Mnapeana matumaini bure tu humu!
Kila kona ya nchi hii kuanzia kwenye mashina huko ccm wapo tele! Wanashindwaje uchaguzi!. Chama cha kukitoa ccm madarakani bado hakipo! TUSIDANGANYANE!
Reality!!Wakati mnatapika upuuzi mtandaoni ni vema kukumbuka kwamba:
1. mpaka dakika hii CCM ina wabunge wanaosubiri kuapishwa 28 na madiwani zaidi ya 800 waliopita bila kupingwa.
2. Ccm ndicho chama pekee kati ya 15 kinachomiliki vifaa vyote vya uchaguzi vikiwemo vituo vyote na mfumo wote wa upigaji kura, ulinzi wa kura na utangazaji wa washindi wa uchaguzi.
3. Katiba inayotumika na iliyotumika chaguzi zote zilizopita bado ni ile ile haijabadilika.
Thukutane uwanja wa jamuhuri Dodoma siku kuapishwa raisi JPM hapo tar 30 October kama sijakosea tarehe yenyewe.
CCM itashinda kwa kishindo! Mhe.JPM miaka mitano ya kwanza kaweka sawa msingi sasa anakuja na ustawi wa wananchi! Kwanza ilikuwa kukuza uwezo wa Serikali,miradi ya kimkakati ikiwemo miundombinu, umeme, TEHAMA, madini, viwanja vya ndege, reli Barabara, umeme wa uhakika , huduma za msingi za jamii ikiwemo afya, elimu, maji nk. Sasa ni kujenga juu ya hayo mfano Bima za Afya, mafao, madawa na vifaa tiba (ndani ya hospitali siyo kwenye mwembe), maslahi kwa watumishi nkMsingi gani, wa utekaji?!
Ushindi wa upinzani ni mtandaoni, watu wana akaunti nyingi wanapiga sogozi nyingi!Ni lini CCM imewahi kushinda mitandaoni?
Sahiv lazima CCM iumie.. jiandae kwa maumivuCCM itashinda kwa kishindo! Mhe.JPM miaka mitano ya kwanza kaweka sawa msingi sasa anakuja na ustawi wa wananchi! Kwanza ilikuwa kukuza uwezo wa Serikali,miradi ya kimkakati ikiwemo miundombinu, umeme, TEHAMA, madini, viwanja vya ndege, reli Barabara, umeme wa uhakika , huduma za msingi za jamii ikiwemo afya, elimu, maji nk. Sasa ni kujenga juu ya hayo mfano Bima za Afya, mafao, madawa na vifaa tiba (ndani ya hospitali siyo kwenye mwembe), maslahi kwa watumishi nk
Mbili iweke mwanzo na tisa iweke mwishoni. Ndo kura za magufuli hizo hapo kesho kutwa
Natamani nisikie kauli hii baada ya wa Tanzania kutoa tano tena kwa JPM mwanzoni mwa Novemba 2020!Sahiv lazima CCM iumie.. jiandae kwa maumivu
Acha kusingizia wananchi,sema(Polisi+tiss+next+wakuu wa mikoa ,wilaya na wakurugenzi,idara & taasisi za serikali) wakitoa tano.Wananchi kwa madhila waliyopitia kwa miaka mitano ya Jiwe,hawawezi toa 5Natamani nisikie kauli hii baada ya wa Tanzania kutoa tano tena kwa JPM mwanzoni mwa Novemba 2020!
CCM imewekeza kwa wapiga kura! Ndiyo wanaopata Elimu bure, huduma za maji, afya, umeme wa REA, hati za ardhi nk!Acha kusingizia wananchi,sema(Polisi+tiss+next+wakuu wa mikoa ,wilaya na wakurugenzi,idara & taasisi za serikali) wakitoa tano.Wananchi kwa madhila waliyopitia kwa miaka mitano ya Jiwe,hawawezi toa 5