Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwingulu nchemba mzee wa vyeti feki kapiga kura feki anazo masanduku kibao anasubiria siku ya uchaguzi afanye uchakachuaji bila AibuUnaambiwa baadhi ya wagombea ubunge wa CCM akiwemo Mwigulu wameamua kuacha kampeni na kujichimbia kwa DED kupanga njama tu
Nasoma coomment zako afu nakuona mwanamke usiefikiria kwa kuwa unahongwa, Kati ya Mungu na mgufuli nani aliitoa covid tz hauna akili we umbwa na usiwah kunfananisha huyi kima na Mungu ama nyerereAshukuriwe magufuli kwa kuibamiza corona
Wanaccm wengi wameteswa wafanyabiashara wakubwa na hata watu wa kawaida wameporwa pesa zao walizotumiwa toka nje ya Nchi, BOT imeongeza chuki kubwa kwa CCM, wafanyabiashara kubambikiwa kodi kubwa za TRA kupewa kesi za uhujumu uchumi, utakatishaji pesa na mambo mengi ya hovyo yasiyo na tija kwa Taifa lakini yanawanufaisha watesi kibinafi, CCM wengi wametaabika wameteseka sana usidhani mateso ya mtukufu kaburu Mkoloni mweusi ni kwa wapinzani pekeeUnaposema CCM itashindwa uwe na facts ! Kwa vigezo vipi ishindwe ?ccm ina wanachama wapiga kura takriban 15 M ! Wanashindwa vipi?! Mnapeana matumaini bure tu humu!
Kila kona ya nchi hii kuanzia kwenye mashina huko ccm wapo tele! Wanashindwaje uchaguzi!. Chama cha kukitoa ccm madarakani bado hakipo! TUSIDANGANYANE!
CCM bila uchakachuaji bila wizi wa kura bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sanaNdio Akili za Wajinga zilivyo Kutwa kudanganyana na Wajinga wenzie Wakifuata Upepo
Endeleeni Kulisha matango poli
Heri james na polepole kazi yao kubwa ni kupiga pesa za CCM kwa kisingizio cha kuzitumia kurejesha mfumo wa chama kimoja, waliingia CCM wakiwa ni masikini wakubwa lakini sasa ni matajiri wakubwaYaani kati ya kipindi Ccm imepoteza mvuto ni kipindi hiki cha Bashiru na Polepole na kijana anaeitwa sijui Heri James
Jpm amepata shida sana ya kuinadi Ccm kwa sababu ya hawa watu.
Walimjaza Jpm ujinga kwamba Ccm ina pendwa. Halafu wao kama watendaji badala ya kuwa wanyenyekevu kwa wananchi waka na kiburi na dharau kwa wananchi.
Ona Jpm anavyo pata shida kuinadi Ccm.. Imembidi awanunue wasanii wote kujaza uwanja, imembidi awatumie wanafunzi huhadaa ulimwengu kwamba nae ana wafuasi.
Tumeshuhudia hadi mawaziri wanaingia madarasani kuwafundisha wapiga kura wa kuchonga jinsi ya kumpigia Magu kura.
Wanasahau kwamba hao watoto pia kuna familia za upinzani ambazo vijana wao wanajua ukombozi uko Chadema.
Naamini baada ya huyo Wziri kutoka darasani walimzomea maana hakuna kijana atakae ipigia kura Ccm.. Jpm unatakiwa ukiingia ofisini iwe Magogoni au Lumumba ondoka na vichwa vya Bashiru, Polepole na Heri James kuiokoa Ccm.. Usisahau pia biongozi wa tume na Igp.. Hawa wamekunyima kura kwa unyanyasaji wa raia.
Halaf Mgombea wao hajui hata Kiingereza sijui nani atamtetea akianza kula kichapo cha Jumuiya ya KimataifaNimetafakari sana huu mchezo unavokwenda, na nimejiridhisha bila shaka, mpaka sasa, CCM imepoteza pambano.
Mtakubaliana na mimi ya kwamba CCM wameshindwa kwenye hoja za kampeni, CCM wameshindwa kutetea chochote walichokifanya miaka mitano iliyopita, ilani yao ya uchaguzi mwaka huu wanaiona kama 'kituo cha polisi', CCM hawajafanya kampeni zozote za maana huu mwaka.
Ni kwa viashiria kama hivo ambavyo vinaniambia kwamba CCM haitoboi huu mwaka.
Mbinu pekee ni wizi wa kura na hujuma, ambavyo naviona pia vikienda kuangukia pua kwasababu CCM ya sasa ina maadui wengi sana wa ndani. Kuna wana CCM wengi sana wameumizwa na huu mfumo kandamizi na wote hao japo kwa sasa hawasemi wazi, wataenda kupiga kura ya haki.
Nimefurahi pia mbinyo wa jumuiya ya kimataifa kwa utawala wa Magufuli, hii inakuambia kwamba, ikiwa Magufuli atajaribu kutumia ubabe, ni wazi shahiri lazima kuwe na consequences.
Zamani CCM walifanikiwa kuibia watanzania kura, lakini tuliwasamehe kwasababu kidogo walikuwa ni waungwana. Ila kwa sasa, hakutakuwa na msamaha wa wezi.
CCM MUST FALL!
Na uzuri mwaka huu hawauzungusha ule uchawiCcm bila mbio za mwenge ni lzm ilale mapema, vijijini ndo walikuwa wakituangusha wamjini, lkn vijijini ndo kumekucha kuliko mjini
Wamekiuka zindikoNa uzuri mwaka huu hawauzungusha ule uchawi
Walipigwa upofuWamekiuka zindiko
Unaposema CCM itashindwa uwe na facts ! Kwa vigezo vipi ishindwe ?ccm ina wanachama wapiga kura takriban 15 M ! Wanashindwa vipi?! Mnapeana matumaini bure tu humu!
Kila kona ya nchi hii kuanzia kwenye mashina huko ccm wapo tele! Wanashindwaje uchaguzi!. Chama cha kukitoa ccm madarakani bado hakipo! TUSIDANGANYANE!
Aaah Mkuu umenikumbusha pande hizo Nalasi, mchoteka, Njenga, wenje, mnemasi na Likweso hatari sana hadi huko hawaitaki ccm ? Kwisha habari yakeHili jitu mwaka huu halina nafasi ndani ya mioyo ya watanzania,yaani mpaka watu wa nalasi,mbati,mbesa wanaikataa ccm.
We huoni ccm imekatiliwa vibaya zaidi vijijini kuliko hata mjini akili zimefungukaWalipigwa upofu
Hizo ni propaganda tu
Nasoma coomment zako afu nakuona mwanamke usiefikiria kwa kuwa unahongwa, Kati ya Mungu na mgufuli nani aliitoa covid tz hauna akili we umbwa na usiwah kunfananisha huyi kima na Mungu ama nyerere
Uko kwenye propaganda mpaka ukweli ukisemwa ndio unauona ni propaganda! Kwa taarifa yako haya ninayokuambia nina ushahidi nayo. Sina chembe ya shaka ya ninachokisema.
CCM itashinda kwa kishindo! Mhe.JPM miaka mitano ya kwanza kaweka sawa msingi sasa anakuja na ustawi wa wananchi! Kwanza ilikuwa kukuza uwezo wa Serikali,miradi ya kimkakati ikiwemo miundombinu, umeme, TEHAMA, madini, viwanja vya ndege, reli Barabara, umeme wa uhakika , huduma za msingi za jamii ikiwemo afya, elimu, maji nk. Sasa ni kujenga juu ya hayo mfano Bima za Afya, mafao, madawa na vifaa tiba (ndani ya hospitali siyo kwenye mwembe), maslahi kwa watumishi nkNimetafakari sana huu mchezo unavokwenda, na nimejiridhisha bila shaka, mpaka sasa, CCM imepoteza pambano.