Uchaguzi 2020 Bado sioni njia ya CCM kushinda huu uchaguzi. Kivyovyote vile, CCM imepoteza mpambano

Uongo mtupu, hakuna cha tawala kilicho tawala daima. Hakuna jamani!
 
Reality!!
Though in Zanzibar there's a different as I see.
 
Ni lini CCM imewahi kushinda mitandaoni?
 
Msingi gani, wa utekaji?!
CCM itashinda kwa kishindo! Mhe.JPM miaka mitano ya kwanza kaweka sawa msingi sasa anakuja na ustawi wa wananchi! Kwanza ilikuwa kukuza uwezo wa Serikali,miradi ya kimkakati ikiwemo miundombinu, umeme, TEHAMA, madini, viwanja vya ndege, reli Barabara, umeme wa uhakika , huduma za msingi za jamii ikiwemo afya, elimu, maji nk. Sasa ni kujenga juu ya hayo mfano Bima za Afya, mafao, madawa na vifaa tiba (ndani ya hospitali siyo kwenye mwembe), maslahi kwa watumishi nk
 
Sahiv lazima CCM iumie.. jiandae kwa maumivu
 
CCM IACHE KUWAONA WATANZANIA KAMA WATOTO WADOGO WASITENGENEZE MAZINGIRA YATAYOSABABISHA MTU AJIULIZE MARA MBILI CCM HEKIMA NI KITU BORA SANA UCHAGUZI WETU WATANZANIA UMESHIKWA NA KANENO KADOGO SANA {haki} ITAKAPOTUMIKA EXTREME FORCE DHIDI YA HAKA KANENO TUTAIHARIBU NCHI YETU WENYEWE
 

Attachments

  • 1603654288788.png
    337.8 KB · Views: 3
HAKIKA SEREKALI ISIPOKUWA MAKINI TUENDAPO KUTAKUWA KUBAYA SANA NI NANI ATAKUWA WA KUMLAUMU? NANI ATAWAJIBISHWA? YATAKAPO TOKEA MAUAJI TUNAISHI DUNIANI KWA KIPINDI KIFUPI MNO HUKO MBELE NDIPO NYUMBANI KWETU KWENYE NYUMBA YETU YA HAKI TUSIRUHUSU HAYA CHONDE CHONDE
 
Natamani nisikie kauli hii baada ya wa Tanzania kutoa tano tena kwa JPM mwanzoni mwa Novemba 2020!
Acha kusingizia wananchi,sema(Polisi+tiss+next+wakuu wa mikoa ,wilaya na wakurugenzi,idara & taasisi za serikali) wakitoa tano.Wananchi kwa madhila waliyopitia kwa miaka mitano ya Jiwe,hawawezi toa 5
 
Acha kusingizia wananchi,sema(Polisi+tiss+next+wakuu wa mikoa ,wilaya na wakurugenzi,idara & taasisi za serikali) wakitoa tano.Wananchi kwa madhila waliyopitia kwa miaka mitano ya Jiwe,hawawezi toa 5
CCM imewekeza kwa wapiga kura! Ndiyo wanaopata Elimu bure, huduma za maji, afya, umeme wa REA, hati za ardhi nk!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…