Uchaguzi 2020 Bado sioni njia ya CCM kushinda huu uchaguzi. Kivyovyote vile, CCM imepoteza mpambano

Ulikolalia ewe ndio walikoamkia wenzako! Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Subiri tarehe 28 tukuonyeshe, ndio utajua kwa nini Magufuli aliwahi kuitwa Bulldozer aka tinga tinga
 
Yaani kwa upande wa wagombea ubunge wa CCM ni kama hawafanyi kampeni kabisa..

Majimbo wengi wakijaribu tu kufanya kampeni, wanazomewa na wananchi..

Huyu wa jimboni kwetu nilipo Mimi, anachofanya ni kila siku watu wake wanazunguka na gari lao lenye maspika tu yakipiga muziki hovyo hovyo wa nyimbo zile za miaka yote za;

"...aacheni waandamane eee, wataisoma namba...nk nk..."

Wengi wamehamia kwa ma DEDs ambao ndiyo wasimamizi wakipanga mikakati ya ushindi wa wizi wakishirikiana na maDC, maafisa usalama (DSO/RCO) na OCD kuset vituo hewa vya kupitishia zile kura haramu..

Yaani hawa wanawaandalia wakubwa wao tiketi za kwenda mahakama ya uhalifu wa kimataifa, The Hague..

Hawa lazima wataua watu hawa ktk uchaguzi huu..!!
 
Zaidi ya nusu ya hao unaoita wapiga kura wa CCM hawataichagua CCM. Tatizo mlipumbazwa na uongo wa Polepole na Bashiru kwa kununua wapinzani uchwara mkaamini Chadema imekufa. Hivi yale makelele anayopiga meko unafikiri yanasababishwa na nini?
 
Mkuu Jumatano ni keshokutwa tu hapo lets wait and see
Hata msemaji wa Sadam Hussein hadi anakamatwa alikuwa anatangaza kwamba vijito vya Iraqi vinatiririka damu za Askari wa Marekani.
 
Ushindi bado upo pale pale mkuu
 
Msome vizuri utaelewa.anasema haohao wanachama Wa ccm ndio watakaoiangusha hiyo ccm.
Imekuwa na maadui humohumo ndani ya CHAMA,tar 2810,wengi watapiga kura za hasira.
 
Naona unafaa sana kuwa msemaji wa Timu ya mpira au Mashindano ya Ngumi kwani msimamo ni kusimamia ushindi, hakuna kukata tamaa hadi kipenga cha mwisho...
 
Wameshaandaa visingizio. Mgombea urais wao keshakata na tiketi ya kurudi 'kwao'
Hawa wanajifurahisha tu kabla ya uchaguzi. Subiri uone comments zao baada ya uchaguzi. Utafikiri sio wao waliokuwa wanaaandika wanayoandika leo.
 

Watashinda kwa kutumia tume
 
Inasemekana leo ilikuwa Jumamosi ya mwisho chini ya utawala wa CCM. Ni siku muhimu sana kwa historia ya taifa letu.

Vyovyote itakavyokuwa, 28/10/2020 itakuwa siku itakayoibadilisha Tanzania forever!
TATHMINI YAKINAJIMU 2+8+1+2+2 SAWA NA 15 1+5 SAWA NA 6 SITA SI ALAMA NZURI KINAJIMU KWA SABABU ISRAIL ANAKALIA NAMBA HII jinsi ya kumdhibiti huyu ni kuwepo usawa atakosa nguvu kabisa na pahala pa kuanzia hatari yake huwanyima watu woga dhidi ya kifo na kuwapa ujasiri almuradi yake yatimie maafa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…