Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
Brother mbona una maswali ya kikatili hivi?Msimu huu ni mechi ngapi Simba imeshinda pale Taifa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Brother mbona una maswali ya kikatili hivi?Msimu huu ni mechi ngapi Simba imeshinda pale Taifa?
Tena moto wa Wydad utakuwa wa kuni kavu kabisa, boli watakalopiga kwa Mkapa litakuwa halijawahi kuonekana maana wamempata 5imba Guvu moya kibonde wao kwenye kundi watamshindilia 5G!
Sawa ila simba anajinamizi la draw mechi za kimataifa,Kwanza Wydad hawana kikosi cha ajabu, kuna game ya ugenini lazima apoteze.
SSC ijitahidi kushinda game zote za Home na akienda Asec kwa SSC hii, atafute ushindi au afanye droo.
Bado matumaini ni makubwa sana
Bro 5imba Guvu moyaaaa Ina majinamizi mawili sio moja tu la droo, umesahau jinamizi la pili la kufungwa dkk za nyongeza! 😭Sawa ila simba anajinamizi la draw mechi za kimataifa,
Bro 5imba Guvu moyaaaa Ina majinamizi mawili sio moja tu la droo, umesahau jinamizi la pili la kufungwa dkk za nyongeza! [emoji24]
Jana nyani alitapika bungo, ikawa utatoa utoi utatoa utoi msako wa karne wa namtaka mke wangu, mwishoni jamaa pumzi ikakata wakatoa aisee!
Na Putin hachezi marudiano kwa Mpalanger! samahani kwa Mkapa!
Umebadili kauli baada ya kuona upepo wa robo fainali unavuma kueleka msimbazi.Kwanza Wydad hawana kikosi cha ajabu, kuna game ya ugenini lazima apoteze.
SSC ijitahidi kushinda game zote za Home na akienda Asec kwa SSC hii, atafute ushindi au afanye droo.
Bado matumaini ni makubwa sana
Tunza risiti za huu uzi, tutarudi tena hapa insha-Allah.Sawa ila simba anajinamizi la draw mechi za kimataifa,
Bro tumia hesabu ndogo, kumbe hukuona vizuri, jana kiufundi yule mwamba Putin ndo alishikilia bomba, alipotoka 5imba Guvu moya ikadedi na kukandwa dkk za jiooooni!Putin is not tte only player
Basi ndio anakuja kukukazeni hapo hapo kwa Mkapa.Hawezi kutufunga TAIFA trust me , na hajawahi kutufunga Taifa
Tuna nafasi zaidi ya asilimia 70 kusonga Mbele
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaani Simba ina nafasi ila Yanga ambayo kundi lake hakuna hata mwenye point 6 hana nanfasi. Afu ni Shabiki wa Yanga?Mim ni Yanga lakini Simba ana nafasi zaidi kwenda robo kuliko Yanga.
Ipo hivi
Simba anapambania nafasi moja iliyobaki baada ya Asev kuchukua moja.
Nafasi ilibaki Simba anapambania na Waydad pekee , Waydad ambao ni wa kawaida na wamebakiza game moja pekee home.
Simba akimpiga Waydad Kwa Mkapa , akimpiga na Galaxy anakuwa amemaliza kaz.
Umesahau Simba ana mechi away na ASEC MemosasMim ni Yanga lakini Simba ana nafasi zaidi kwenda robo kuliko Yanga.
Ipo hivi
Simba anapambania nafasi moja iliyobaki baada ya Asev kuchukua moja.
Nafasi ilibaki Simba anapambania na Waydad pekee , Waydad ambao ni wa kawaida na wamebakiza game moja pekee home.
Simba akimpiga Waydad Kwa Mkapa , akimpiga na Galaxy anakuwa amemaliza kaz.
Kweli hawana kikosi cha ajabu maana mpaka wanacheza na 5imba walikuwa na pointi 0 magoli 0 kabla ya mechi.Kwanza Wydad hawana kikosi cha ajabu, kuna game ya ugenini lazima apoteze.
2011 mlikula 3 taifa,wydad wakija watapak bus Kama nyie Jana,kwa kuwa nyinyi ndiyo mnahitaji ushindi,Sasa si unajua timu lenu likifunguka matundu kibao,ndo mtawekwa kilainHawezi kutufunga TAIFA trust me , na hajawahi kutufunga Taifa
Tuna nafasi zaidi ya asilimia 70 kusonga Mbele