Bado SSC anayo Nafasi ya Kucheza Robo Fainali

Bado SSC anayo Nafasi ya Kucheza Robo Fainali

Nmeahidiwa mbususu simba asipofuzu robo, hawa wanawake wanakuja kwa kasi sana kwenye kushabikia mpira.
 
Iliyotoka sare na Galaxy na kufungwa na Wydad ni Simba ipi? Sio ya sasa?
Kwamba umemchukulia Asec ni vibonde kuliko Wydad na Galaxy?
Muda utatoa jibu, ila Simba kufuzu kupo nje nje labda asitake tu.
 
Uliangalia mpira

Kocha wa Yanga ndio mzee wa Objective
Yanga inaingiaje hapa?

Wewe umesema Simba ya sasa Asec lazima afungwe, nimekuuliza kwahiyo ile Simba ya jana iliyofungwa na Wydad na kutoa sare na Galaxy ni Simba ipi au wamewachukulia Asec kama ni timu mbovu kuliko Wydad na Galaxy? Umenijibu ni ya mzee wa Objective football. Sasa Benchikha ni mzee wa objective football? Maana Simba ya sasa ni Benchikha, na hiyo hiyo Simba ya sasa ndio iliyoshindwa kufunga goli hata moja kwenye mechi mbili mfululizo, Simba ya sasa ndio iliyotoa sare hata kwa timu mbovu ya Galaxy na kufungwa na Wydad. Sasa kipi kikupe imani kuwa Simba ya sasa itamfunga Asec tena wakiwa kwao?
 
Muda utatoa jibu, ila Simba kufuzu kupo nje nje labda asitake tu.
Mkifungwa kwa Mkapa, sahau kumfunga Asec kwao ili mfuzu. Akili za wana Simba wengi ni kuamini kuwa Asec kwavile atakuwa amefuzu hatakuwa na presha kubwa ata relax, ni sahihi ila lazima kwanza uambulie point dhidi ya Wydad uwanja wa taifa.
 
Hakuna wa kumfunga tena Simba kwenye mechi zilizobaki, labda azembee tu.
 
Back
Top Bottom