Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
- Thread starter
- #41
Wote na Yanga watoke tu. Hawakujiandaa na awamu hizo. Haiwezekanj usubiri hali iwe mbaya ndio ujitume
Ila at some point. You are making sense. Hata wakitoboa hapa hawatoweza kufika nusu fainal. Watoke tu
Hawajajiandaa. Wakat wa sajili dream zao ni kufungana wao kwa wao
Badala za kufanya sajili za michuano ya kimataifa, na wangefanya sajili za kimataifa mtu kama mikison wala asingekuwa simba
Ameonesha kiwango gani huko alipotoka hadi kurudishwa? Mtu hana assist wala goli wala haijulikan anafanya nini na ndio naambiwa anakula mpunga mrefu kuliko wote
Leo wanataka kumleta Manzoki, sasa watu kama hawa wnaaakili…… mtu keshachoka hana ishu badala ya kuleta vipaji under age ili waweze hata kufanya biashara
Huyo manzoki anakuja kula pension
Sajili za majina na sio utendaji zimepitwa na wakati
Watoke wote hawajajiandaa
Wamewekeza kwenye social media kuliko uwanjani. Wote wana wasemaji ambao ni waimba taarabu