Bado SSC anayo Nafasi ya Kucheza Robo Fainali

Bado SSC anayo Nafasi ya Kucheza Robo Fainali

Timu kwa sasa ina mabadiliko mazuri, angalau wanaonekana wanacheza na kutoa upinzani mzuri tofauti na awali.
Haya maneno si mlisema hayatakiwi kikubwa ni kushinda? Mashabiki wa Yanga walifurahia performance dhidi ya Al Ahly na Belouizdad lakini ikapiingwa kuwa kinachotakiwa ni point tatu.

Tuje kwenye swala mabadiliko, ni kwamba kilichoongezeka ni spirit za wachezaji tu jambo ambalo ndicho kilichokuwa kinakosekana kwa Simba. Ufadha ulikuwa mwingi kwa wachezaji ila kwavile kocha ni mpya kila mmoja anapambania kumshawishi kocha. Katika msimu huu kabla ya ujio wa Benchikha, ni mechi dhidi ya Al Ahly ndio wachezaji walijitoa kwa jasho na damu.
Pamoja na hayo mabadiliko unayoyaona, safu ya umaliziaji imekuwa butu tofauti na ilivyokuwa kwa Robert.
 
Back
Top Bottom