Bado SSC anayo Nafasi ya Kucheza Robo Fainali

Wote na Yanga watoke tu. Hawakujiandaa na awamu hizo. Haiwezekanj usubiri hali iwe mbaya ndio ujitume

Ila at some point. You are making sense. Hata wakitoboa hapa hawatoweza kufika nusu fainal. Watoke tu

Hawajajiandaa. Wakat wa sajili dream zao ni kufungana wao kwa wao
Badala za kufanya sajili za michuano ya kimataifa, na wangefanya sajili za kimataifa mtu kama mikison wala asingekuwa simba

Ameonesha kiwango gani huko alipotoka hadi kurudishwa? Mtu hana assist wala goli wala haijulikan anafanya nini na ndio naambiwa anakula mpunga mrefu kuliko wote

Leo wanataka kumleta Manzoki, sasa watu kama hawa wnaaakili…… mtu keshachoka hana ishu badala ya kuleta vipaji under age ili waweze hata kufanya biashara
Huyo manzoki anakuja kula pension

Sajili za majina na sio utendaji zimepitwa na wakati

Watoke wote hawajajiandaa
Wamewekeza kwenye social media kuliko uwanjani. Wote wana wasemaji ambao ni waimba taarabu
 
Kule tuna draw au kumfunga
We jamaa hufundishiki!!

Mwenzio kakuamsha na vuvuzela masikioni ila bado unapiga usingizi tu! We Bado umo tu, yani unataka kusema mtamfunga Asec kwao nyie ? Kweli kabisa na akili zako baba nani sijui unaamini ujinga? kama Jwaneng tu mmeshindwa na mmekandwa na Wydad , Asec mtawaweza Tena kwao? Kweli?

Mwalimu Kakwambia achana na kilimo cha makaratasi cha kusema mdomoni jembe halimtupi mtu huku hata bustani huna, mara oooh sisi ndo namba moja Africa, Pira objektiv huku mko mkiani kwenye kundi ila maskini hata hamjielewi, Ahmed Ally kweli kashika akili zenu za takwimu za CAF huku uwanjani zero!! Hapa Sasa naaamini kweli Thimba Guvu moya wote mbumbumbu kasoro mmoja tu Rage the Great!!
 

Wait and see

Kwa mpira wa Jana Asec tunagonga hodi kwao

Na hutoamini
 
Galaxy anaweza kumfunga Asec nyumbani kwake, au Wydad,
 
simba kufuzu lazima ndio tunaongoza kundi wakati yanga wamecheza mechi 3 point 2. 😜🙄
 
Kama wewe ni refa basi wameshazifunga timu zote wapo robo😅
 
Wydad anawafunga kwa mkapa. Wala msijipe matumaini nyie ndezi
Ili Wydad asonge mbele anahitaji matokeo kwa Mkapa si ndio? Simba inaenda kupotea hii timu.
 
Kwanza Wydad hawana kikosi cha ajabu, kuna game ya ugenini lazima apoteze.

SSC ijitahidi kushinda game zote za Home na akienda Asec kwa SSC hii, atafute ushindi au afanye droo.

Bado matumaini ni makubwa sana
ulipokosea huu uzi wako wa kupeana matumani hapo ulipose "ikijitahidi"
 
Ila twende mbele turudi nyuma. Waarabu wanajua kumuandaa mtu, dakika zote walikuwa wanamuandaa kisha wakamalizia[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] kwamba mnyama ka andaliwa dakika 90 akaloa[emoji97][emoji97] [emoji97]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaani Simba ina nafasi ila Yanga ambayo kundi lake hakuna hata q1q1mwenye point 6 hana nanfasi. Afu ni Shabiki wa Yanga?
Ukiangalia Kwa makini ndio ipo hivyo mkuu.

Kundi la Simba halina team yoyote Kali.

Kitendo cha Simba kuwa na games mbili Nyumbani ni advantage . Na kitendo cha hizo games za nyumban kuwa dhid ya Wydad na Galaxy ni Zaid ya advantage Kwan game ya mwisho ataenda kucheza na team yenye ticket tayar
 
Umeona kuna timu ya kumpiga Wydad pale?
 
Timu kali unazipima kwa lipi? unategemea Simba atamfunga ASEC kwake?
 
Simba akifungwa na Wydad kwa Mkapa, atakuwa ana wakati mgumu kufuzu. Ili afuzu anatakiwa aanze kwa kumfunga Wydad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…