Bado tupo utumwani? kwanini tunasita kubadili jina la jiji kubwa zaidi Afrika mashariki

Inasemekana mwaka 1992 asilimia 80 ya Watanzania walikuwa hawataki vyama vingi, ajabu ni katika uchaguzi mkuu wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995 upinzani ulipata 40% ya kura, tena chini ya tume inayosimamiwa na chama tawala.
This is neither here nor there.

A strawman argument logical fallacy.

A non sequitur logical fallacy.
 
Jina la Dar es salaam tulishalikubali, tulikichukua na kulifanya letu, si la Sultani tena.

Ukishikilia kuwa ni la Sultani, wewe ndiye unampa Sultani umuhimu asiokuwa nao.

Pia, kihistoria Dar es salaam kama mji ni mji ulioanzishwa na Sultani. Hiyo ni historia ambayo haifutiki hata ukibadili jina.
Ni suala la uamuzi ingawaje huchukua muda kidogo. Zimbabwe na Zambia zilikuwa zinaitwa Rhodesia huku Harare ikiitwa Salisbury, ila hayo majina yalihapotea siku nyingi.
 
Tukiangalia majina karibia yote ya mikoa yana asili ya hapa kwetu iweje jiji kubwa nchini na Africa Mashariki tubaki kungangania jina la kikoloni lenye historia ya kitumwa ?

Jina la jiji kubwa zaidi Afrika Mashariki "Dar Es Salaam" lilipewa na Sultani Majid bin Said

Kabla ya hapo, eneo hilo lilikuwa kijiji kidogo cha wavuvi kilichoitwa Mzizima, neno lenye maana ya "mji wenye afya."

Sultani Majid alikuwa akifanya biashara ya kikatili ya utumwa iliyomtajirisha, Bandari aliyotumia aliisifia kwa kuiita Dar Es Salaam, kwa tafsiri ya kiswahili ni bandari salama, alisafirisha babu na bibi bila bugudha ndio maana akapaita Dar Es salaam, sehemu ambazo babu zetu walifikia wamechapwa sana mijeredi, wamelimishwa sana mashambani, walioenda nchi walizotokea masultan hali ilikuwa mbaya walikatwa viungo vya uzazi ndio maana ni ngumu kukuta wajukuu zao, utaowakuta ni waafrika waliohamia kuanzia miaka ya 70s

View attachment 3250594

Itapendeza zaidi paitwe MZIZIMA
Kuna watu wanasema dini yao ndio ilianzisha hilo jina. Ukitaka kulibadili tu wataandamana. Mambo ya kiouuzi kwelikweli.
 
Ni suala la uamuzi ingawaje huchukua muda kidogo. Zimbabwe na Zambia zilikuwa zinaitwa Rhodesia huku Harare ikiitwa Salisbury, ila hayo majina yalihapotea siku nyingi.
Sasa hayo ni majina ya wakoloni, ambao hawakuwa na mahusiano na Wazimbabwe nje ya ukoloni na ubwana.

Uhusiano wa Waarabu na Waafrika wa hii iliyo Tanzania uko complex sana kwa sababu Waarabu si wakoloni kwa namna ambayo Wazungu walikuwa wakoloni. Waarabu wamejichanganya sana na jamii ya Waafrika wa hii Tanzania. Ukiangalia Kiswahili tu utaona kuwa zoezi la ku de Arabise Tanzania ni zoezi la kijinga, kwa sababu itakubidi uunde lugha mpya ukitupe Kiswahili.

Waarabu walifanya biashara, mpaka ya watumwa, kwa kushirikiana na machifu wetu. Sasa unapotaka kubadili jina la Dar es salaam utabadiki na majina ya vitu vyote vilivyopewa majina ya machifu walioshirikiana na waarabu?

Utabadili na jina la shule ya Tambaza kwa sababu Tambaza alimuuzia ardhi Sultani? Mchango wa familia ya Tambaza kwenye uhuru wa Tanzania unaujua?

Yani hata hapa unapoandika kusema tulibadili jina la Dar esalaam, ukishasema "badili" umetumia neno lenye mzizi wa Kiarabu hapo.

Sasa utabadili na neno badili nalo? Kwa sababu nalo ni la Kiarabu.

In fact hao ma Sultani wenyewe wa Zanzibar ukiwaangalia wengine utawaona weusi kwa sababu mpaka familia ya Sultani ilioana na Waafrika mpaka Wamanyema huko. Na hao kina Tambaza walivyowauzia ardhi kina Sultani walikuwa wanaona sawa tu kwa sababu walijua wanaendeleza dini yao ya Uislamu.

Sasa uko tayari kuleta mgawanyiko wa kidini miongoni mwa Watanzania na kuonekana unawanyanyapaa Waislamu ambao wataona kubadili jina la Dar es salaam ni ku de Islamize historia ya Tanzania?

Uko tayari ku deal na figisu za kina Mohamed Said na wenzake ambao watasema mfumoKristo unawafutia Waislamu historia yao muhimu kwa mara nyingine tena kwa kuondoa jina la Dar es salaam?

Unafikiri kwa nini Nyerere na ujanja wake wote kafikia mpaka kupiga marufuku uchifu, kuua Tanganyika na kuunda Tanzania, kahamisha makao makuu ya serikali kwenda Dodoma lakini hakutaka kubadili jina la Dar es salaam?

Unafikiri alikuwa mjinga? Unafikiri hakuona kuwa hili jina ni la enzi za Sultani?
 
Yanibhata hapa unapoandika kusema tulibadiki jina la Dar esalaam, ukishasema "badiki" umetumia neno lenye mzizi wa Kiarabu hapo.

Sasa utabadili na neno badili nalo? Kwa sababu nalo ni la Kiarabu.

In fact hao ma Sultani wenyewe wa Zanzibar ukiwaangalia wengine utawaona weusi kwa sababu mpaka familia ya Sultani ilioana na Waafrika mpaka Wamanyema huko. Na hao kina Tambaza walivyowauzia ardhi kina Sultani walikuwa wanaona sawa tu kwa sababu walijua wanaendeleza dini yao ya Uislamu.

Sasa uko tayari kuleta mgawanyiko wa kidini miongoni mwa Watanzania na kuonekana unawanyanyapaa Waislamu ambao wataona kubadili jina la Dar es salaam ni ku de Islamize historia ya Tanzania?

Uko tayari ku deal na figisu za kina Mohamed Said na wenzake ambao watasema mfumoKristo unawafutia Waislamu historia yao muhimu kwa mara nyingine tena kwa kuondoa jina la Dar es salaam?

Unafikiri kwa nini Nyerere na ujanja wake wote kafikia mpaka kupiga marufuku uchifu, kuua Tanganyika na kuunda Tanzania, kahamisha makao makuu ya serikali kwenda Dodoma lakini hakutaka kubadili jina la Dar es salaam?

Unafikiri alikuwa mjinga? Unafikiri hakuona kuwa hili jina ni la enzi za Sultani?
Mbona Wagalatia hawajalalamika jina la Stiegler's Gorge kufutwa?
 
Wagalatia hawana identification na dini yao kama Waislamu.

Miaka 200 iliyopita for the most part hakukuwa na Mkristo hapo palipo Tanzania leo, lakini Waislamu walikuwapo miaka mingi tu kabla ya hapo.

Halafu kulinganisha Stiegler's Gorge na Dar es salaam ni apples to oranges.

Watanzania wengi hiyo Stiegler's Gorge hata kuitamka hawawezi, na haina uhusiano na dini.
 
Wagalatia hawana identification na dini yao kama Waislamu.
Hayo ni matatizo yao sasa, halafu watu wamependekeza jina la asili kabisa la "Mzizima", sio hata majina ya kigalatia kama Port Elizabeth n.k
 
Hata Mzizima si jina la asili, hilo lilikuja baadaye sana tu baada ya kuja Wazaramo.

Mnashadadia kubadili jina hata historia ya hiyo sehemu hamuijui.
 
Sasa hayo ni majina ya wakoloni, ambao hawakuwa na mahusiano na Wazimbabwe nje ya ukoloni na ubwana.

Uhusiano wa Waarabu na Waafrika wa hii iliyo Tanzania uko complex sana kwa sababu Waarabu si wakoloni kwa namna ambayo Wazungu walikuwa wakoloni. Waarabu wamejichanganya sana na jamii ya Waafrika wa hii Tanzania. Ukiangalia Kiswahili tu utaona kuwa zoezi la ku de Arabise Tanzania ni zoezi la kijinga, kwa sababu itakubidi uunde lugha mpya ukitupe Kiswahili.

Waarabu walifanya biashara, mpaka ya watumwa, kwa kushirikiana na machifu wetu. Sasa unapotaka kubadili jina la Dar es salaam utabadiki na majina ya vitu vyote vilivyopewa majina ya machifu walioshirikiana na waarabu?

Utabadili na jina la shule ya Tambaza kwa sababu Tambaza alimuuzia ardhi Sultani? Mchango wa familia ya Tambaza kwenye uhuru wa Tanzania unaujua?

Yani hata hapa unapoandika kusema tulibadili jina la Dar esalaam, ukishasema "badili" umetumia neno lenye mzizi wa Kiarabu hapo.

Sasa utabadili na neno badili nalo? Kwa sababu nalo ni la Kiarabu.

In fact hao ma Sultani wenyewe wa Zanzibar ukiwaangalia wengine utawaona weusi kwa sababu mpaka familia ya Sultani ilioana na Waafrika mpaka Wamanyema huko. Na hao kina Tambaza walivyowauzia ardhi kina Sultani walikuwa wanaona sawa tu kwa sababu walijua wanaendeleza dini yao ya Uislamu.

Sasa uko tayari kuleta mgawanyiko wa kidini miongoni mwa Watanzania na kuonekana unawanyanyapaa Waislamu ambao wataona kubadili jina la Dar es salaam ni ku de Islamize historia ya Tanzania?

Uko tayari ku deal na figisu za kina Mohamed Said na wenzake ambao watasema mfumoKristo unawafutia Waislamu historia yao muhimu kwa mara nyingine tena kwa kuondoa jina la Dar es salaam?

Unafikiri kwa nini Nyerere na ujanja wake wote kafikia mpaka kupiga marufuku uchifu, kuua Tanganyika na kuunda Tanzania, kahamisha makao makuu ya serikali kwenda Dodoma lakini hakutaka kubadili jina la Dar es salaam?

Unafikiri alikuwa mjinga? Unafikiri hakuona kuwa hili jina ni la enzi za Sultani?
Hapa umeleta hoja ya zaidi, mwanzo ilikuwa ni uwezekano/urahisi wa kubadili jina la Dar, nikakupa mifano kuwa hilo linawezekana.
Waarabu walikuwa wakoloni kama walivyokuwa wazungu ila hili utaliona ukiangalia bila mrengo wa dini, tena mbaya zaidi, hawa waliasi hadi wanaume.
Kiswahili kama zilivyo lugha nyingine, kimekuwa kwa kukopa kutoka lugha nyingine. Kuna watu wanaamini asilimia kubwa ya Kiswahili ni Kiarabu huku wakisahau mchango wa lugha za kibantu. Kishona kina asilimia 50+ ya maneno ya Kiswahili.
Nyerere kufuta uchifu na unyarubanya ilikuwa ni consolidation ya powers tu wala hakuwa na lingine. Hoja ya Utanganyika bado ipo sana, ni ishu ya muda tu Tanganyika itarudi kama watu wakiipigania.
 
Nakwambia hivi, haya maongezi ni ya kidhahania na kama ya kufurahisha genge zaidi.

Kama unabisha anzisha harakati za kupeleka muswada bungeni tubadili jina la Dar es salaam tuone.

Nafikiri nimeshaongea vya kutosha kuonesha hii hoja haiendi popote.

Kwa sasa ninachohitaji ni vitendo vya kunionesha nimekosea, si maneno.

Badilini hilo jina tuone kweli mko serious.

Vinginevyo nawaona mnatania na kuchangamsha baraza tu hapa.
 
Waarabu walifanya biashara, mpaka ya watumwa, kwa kushirikiana na machifu wetu. Sasa unapotaka kubadili jina la Dar es salaam utabadiki na majina ya vitu vyote vilivyopewa majina ya machifu walioshirikiana na waarabu?
Hii kauli yako haijakaa sawa kusema walifanya biashara "mpaka", usahihi ni kwamba biashara kuu ya Waarabu karne ya 19 kurudi nyuma katika pwani ya Africa mashariki ilikuwa ni biashara ya kununua, kukamata na kuuza watumwa, biashara nyingi zote zilifanywa kuizunguka tu hii biashara ya utumwa.

Kuhusu machifu walioshirikiana kufanya biashara ya kuuza Waafrika wenzao kama Watumwa sijawahi kuona vitu vya maana vilivyopewa majina yao, labda utupe mfano mmojawapo.
 
Hata Mzizima si jina la asili, hilo lilikuja baadaye sana tu baada ya kuja Wazaramo.
Poa tu hata kama ingekuwa Wangoni , hawa ni Waafrica weusi na Sub-Saharan Africa ni eneo la asili.
 
Hii kauli yako haijakaa sawa kusema walifanya biashara mpaka, usahihi ni kwamba biashara kuu ya Waarbu karne ya 19 kurudi nyuma katika pwani ya Africa mashariki ilikuwa ni biashara ya kununua, kukamata na kuuza watumwa, biashara nyingi zote zilifanywa kuizunguka tu hii biashara ya utumwa.

Kuhusu machifu walioshirikiana kufanya biashara ya kuuza Waafrika wenzao kama Watumwa sijawahi kuona vitu vya maana vilivyopewa majina yao, labda utupe mfano mmojawapo.

Nakwambia hivi, haya maongezi ni ya kidhahania na kama ya kufurahisha genge zaidi.

Kama unabisha anzisha harakati za kupeleka muswada bungeni tubadili jina la Dar es salaam tuone.

Nafikiri nimeshaongea vya kutosha kuonesha hii hoja haiendi popote.

Kwa sasa ninachohitaji ni vitendo vya kunionesha nimekosea, si maneno.

Badilini hilo jina tuone kweli mko serious.

Vinginevyo nawaona mnatania na kuchangamsha baraza tu hapa.
 
Nakwambia hivi, haya maongezi ni ya kidhahania na kama ya kufurahisha genge zaidi.

Kama unabisha anzisha harakati za kupeleka muswada bungeni tubadili jina la Dar es salaam tuone.

Nafikiri nimeshaongea vya kutosha kuonesha hii hoja haiendi popote.

Kwa sasa ninachohitaji ni vitendo vya kunionesha nimekosea, si maneno.

Badilini hilo jina tuone kweli mko serious.

Vinginevyo nawaona mnatania na kuchangamsha baraza tu hapa.
Mimi sijawahi kuwa na wazo kama hili la mleta uzi, ila sioni ni jambo baya au lisilio na mashiko. Naona ni wazo zuri linaloweza kujadiliwa au kufanyiwa kazi hata kwa miaka 50 ijayo kwa kurejea mifano mbalimbali mingi sana. Hata waliokuja na wazo la vyama vingi, kutenganisha chama na serikali, serikali tatu na katiba mpya walionekana kama vituko mara ya kwanza ila sasa yanaonekana mambo ya kawaida kabisa na watu wengi(sio wote) na yanajadiliwa kila mahali hata kama hayajafanyiwa kazi kabisa au kikamilifu.
 
Wewe unashida mahali ebu nenda kamuone daktari kwa ushauri zaidi😀

Ukute bado unalala kwenye kibanda chako cha mbavu za mbwa badala ya kupambana na kuleta mada za kuwepo na unafuu wa maisha ili uwe na maisha bora unaleta mada za kutetea jina Mzizima😂😂😂😂.

Wewe kama unawachukia waarabu utajua mwenyewe.Tafuta njia ya kutoa chuki zako.Babu zako akina TAMBAZA ndio waliwakaribisha waarabu wa OMAN na kuwauzia pwani ya Tanganyika.

Nenda ukagarauke kwenye kaburi la TAMBAZA huku ukibubujikwa na machozi.
You can change the name but remember your using Arabic words in your swahili writing and conversion
Doesn't matter how much you hate you will still use their words in your language
Its there
 
Mimi sijawahi kuwa na wazo kama hili la mleta uzi, ila sioni ni jambo baya au lisilio na mashiko. Naona ni wazo zuri linaloweza kujadiliwa au kufanyiwa kazi hata kwa miaka 50 ijayo kwa kurejea mifano mbalimbali mingi sana. Hata waliokuja na wazo la vyama vingi, kutenganisha chama na serikali, serikali tatu na katiba mpya walionekana kama vituko mara ya kwanza ila sasa yanaonekana mambo ya kawaida kabisa na watu wengi(sio wote) na yanajadiliwa kila mahali hata kama hayajafanyiwa kazi kabisa au kikamilifu.

Acha kutumia na Kiswahili nacho maana maneno yake mengi kimetohoa kwa Waarabu.

Sasa unataka kubadikisha jina la mji Dar es salaam halafu ukisalimiwa ujibu "Salama tu"?

Tracy Chapman katika wimbo wake "If Not Now" aliwahi kuimba hivi

View: https://youtu.be/lMuPYOxC4rg?si=0k5GM92IDlOoNl9r

If Not Now...
Song by Tracy Chapman ‧ 1988

If not now, then when?
If not today,
Then, why make your promises?
A love declared for days to come,
Is as good as none.

You can wait 'til morning comes.
You can wait for the new day.
You can wait and lose this heart.
You can wait and soon be sorry.

If not now, then when?
If not today,
Then, why make your promises?
A love declared for days to come,
Is as good as none.

Now love's the only thing that's free.
We must take it where it's found.
Pretty soon it may be costly.

'Cause if not now, then when?
If not today,
Then, why make your promises?
A love declared for days to come,
Is as good as none.
If now now, what then?
We all must live our lives.
Always feeling.
Always thinking.
The moment has arrived.
If not now, then when?

Source: Musixmatch
Songwriters: Tracy Chapman
If Not Now... lyrics © Purple Rabbit Music
 
You can change the name but remember your using Arabic words in your swahili writing and conversion
Doesn't how much you hate you will still use their words in your language
Its there
Many Tanzanians are champions of superficial changes, while ignoring the real important changes.

How is changing the name of Dar es salaam, an empty symbolic change, going to help poor Tanzanians live better?
 
Sultani alichukua eneo kimabavu hana hadhi yoyote ya kusifiwa kuanzisha mji, kwao alikotoka ni uarabuni.

Hao masultan wamechukua babu zako kuwauza sehemu nyingi duniani, Hali ilikuwa mbaya zaidi kwa babu zetu waliopelekwa uarabuni walikatwa viungo vya uzazi ndio maana leo hii ni ngumu kukuta vizazi vya watumwa uarabuni
Mbona kuna ndugu zako wengi tu Oman tena weusi kuliko hata wewe, sasa hao walizaliwa na nani, hebu acha kuleda prpaganda za kizamani, watu walisha elimika
 
Tracy Chapman katika wimbo wake "If Not Now" aliwahi kuimba hivi

View: https://youtu.be/lMuPYOxC4rg?si=0k5GM92IDlOoNl9r

If Not Now...
Song by Tracy Chapman ‧ 1988

If not now, then when?
If not today,
Then, why make your promises?
A love declared for days to come,
Is as good as none.

You can wait 'til morning comes.
You can wait for the new day.
You can wait and lose this heart.
You can wait and soon be sorry.

If not now, then when?
If not today,
Then, why make your promises?
A love declared for days to come,
Is as good as none.

Now love's the only thing that's free.
We must take it where it's found.
Pretty soon it may be costly.

'Cause if not now, then when?
If not today,
Then, why make your promises?
A love declared for days to come,
Is as good as none.
If now now, what then?
We all must live our lives.
Always feeling.
Always thinking.
The moment has arrived.
If not now, then when?

Source: Musixmatch
Songwriters: Tracy Chapman
If Not Now... lyrics © Purple Rabbit Music

"When we have lost everything, including hope, life becomes a disgrace and death a duty"-Voltaire
“We must accept finite disappointment, but never lose infinite hope”-Martin Luther King Jr.
 
Back
Top Bottom