Bado tupo utumwani? kwanini tunasita kubadili jina la jiji kubwa zaidi Afrika mashariki

"When we have lost everything, including hope, life becomes a disgrace and death a duty"-Voltaire
“We must accept finite disappointment, but never lose infinite hope”-Martin Luther King Jr.
Hii nayo ni lugha ya wakoloni, usiitumie.
 
Pole mkuu,, unapoteza muda. Kama majina ya kuzaliwa tu, tumeyakataa na kuyanyanyapaa majina yetu ya asili na kujifaharisha kwa majina ya kiarabu na kizungu utumwa umenata kama gundi akilini kwa mtu mweusi. Unaweza kuzua ugomvi na kupigwa ngumu mjini kwa kimuita mtu jina lake la utotoni la asili unalolijua akidai umemdhalilisha.
 
When you read this study you will understand the influence of arabic language in swahili
Sasa hata kama hutupendi tunashirikiana lugha mjomba
 
Naunga mkono hoja

Dar es Salaam iitwe Mzizima kama mwanzo

Cha ajabu nchi hii inatawaliwa na Waarabu haitabadilika kitu
 

..Je, Sultani alipobadilisha jina la asili na kuita Dsm hakukuwa na unafiki ndani yake?

..Nchi kama Zimbabwe na Msumbiji zilizobadilisha majina ya kikoloni zilikuwa na unafiki?

..pendekezo lako kwamba Watanzania tuenzi majina yetu ya asili nakubaliana nalo kwa asilimia 100%.

..siku ya uhuru ni lazima isherehekewe kufanya hivyo ni kuenzi juhudi za wazee wetu kutafuta haki, na mamlaka kamili ya kujitawala.
 
Dar es salaam kwa kishwahili ni "Bandari ya Amani"
Jumah kuna tofauti kati ya Bandarissalaam na Daarissalaam (Dar es Salaam)
Bandari salaam ni bandari ya amani kutokana na eneo lake limekingwa na mawimbi na upepo kwa sababu mlango wa kuingilia bandarini ni baina ya Feri na Kigamboni, chombo kikiingia kinakuwa hakina hekaheka ya dharuba ya baharini mpaka kinatia nanga bandarini.
Daarissalaam (Dar es Salaam) Daar kwa lugha ya kiarabu ni nyumba na salaam ni amani.
 
Sioni logic ya kupambana kubadilisha jina moja la kigeni (Dar es Salaam) huku millions upon millions ya watu tukiendelea kuona fahari kujiita Jackson, Martin, Timothy, Hussein, Muhammad, Yusuf, etc. Equally important, why do we practice Christianity and Islam, which are just as foreign as the name Dar es Salaam? Bottom line: no cherrypicking!
 

..kubadilisha jina la Dsm kunaweza kuwa hatua muhimu ktk safari ya kujitambua na nchi nzima kuachana na tamaduni za kigeni.
 
..kubadilisha jina la Dsm kunaweza kuwa hatua muhimu ktk safari ya kujitambua na nchi nzima kuachana na tamaduni za kigeni.
That’s fantasy, my friend! Anzeni na jina Zanzibar basi, angalau linawakilisha upande wa pili wa nchi.
 
Mjomba yaani kuanzia 1960 hujapata mamlaka kamili
 
Watu wanatoka uarabuni, wanakuta sehemu insitwa MZIZIMA halafu Yana badili na kuweka jina lao maenyeji ya wakati huo yamenyamaza tuu. Kweli Babu zetu walikuwa hamnazo
 
Watu wanatoka uarabuni, wanakuta sehemu insitwa MZIZIMA halafu Yana badili na kuweka jina lao maenyeji ya wakati huo yamenyamaza tuu. Kweli Babu zetu walikuwa hamnazo
Lazima uheshimu babu walikutengenezea lugha ya kiswahili ambayo mnakitumia
Au mngetumia kingereza kama nchi zinazotumia kifaransa
I think your ancestors were smatter than you they gave you a language
You have to thank them other calling them what you have call
 
Yes, linaweza kuitwa KILIMANJARO na mkoa wa Kilimanjaro ukaitwa MOSH.

Mkoa wa Pwani ukagawanywa, mkoa mmoja ukaitwa PWANI na mwengine ukitwa MWAMBAO.
 
Yes, linaweza kuitwa KILIMANJARO na mkoa wa Kilimanjaro ukaitwa MOSH.

Mkoa wa Pwani ukagawanywa, mkoa mmoja ukaitwa PWANI na mwengine ukitwa MWAMBAO.
Wow! Unajua asili ya jina Kilimanjaro? What makes pwani pwani and mwambao mwambao?
 
Hapo kwenye lugha ndio usiongee, waliruhusu maneno mengi ya kiarabu na kutuaribia lugha yetu ya asili ya kibantu
 
Due to techinical difficulties, the User Nkaburu cannot respond to your post; Try later.
 
Hapo kwenye lugha ndio usiongee, waliruhusu maneno mengi ya kiarabu na kutuaribia lugha yetu ya asili ya kibantu
Go back to your language we dont care, design your own language we don't care
It takes many generation to have a language ,to late your stuck with it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…