Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Ya mwaka gani mkuu hapa naziona watu wanaziangalia tu sidhani kama itafika rand 80,000 hapo Hall Mark ipo pale pale mwezi wa nane huu au zaidi..Suzuki escudo grand vitara yenye v6 naweza pata kwa bei gani hapo sa
Elimu za magari zipo nyingi humu na nyuzi zake zipo mkuu cheki kwenye hizo nyuzi ila kwa ufupi pick up ya kwanza shambani tafuta hilux d4d engine...Isuzu ni mwisho wa mkataba ila cheki Toyota kwanza...Ndio ninafukuzia kununua gari yangu ya kwanza,hivyo maswali huenda yakadhaniwa kuwa ya kipuuzi sasa pengine ili kuliepusha hilo vyema mtangaza biashara ukatoa ufafanuzi mpana na sifa za uzuri wa hiyo gari,lkn pia na mapungufu.
Nafukuzia kununua gari yangu ya kwanza mkuu kwa hiyo kama umeelewa hitaji langu nakuomba unisaidie.Sio wewe ndo ungeweka picha?
2006-2010Ya mwaka gani mkuu hapa naziona watu wanaziangalia tu sidhani kama itafika rand 80,000 hapo Hall Mark ipo pale pale mwezi wa nane huu au zaidi..
Samaki nchangaUtajikuta ushafika hadi Mtwara ndani ndani huko 😂😂😂😂
Ninasikia kuwa pale SONGEA kuna wana wanakuvushia kupitia Mozambique kutoka SA halafu wakifika Tanganyika wanabadili usajiri na kuna gharama nyingi tu unaokoa.Kodi itafika hiyo bei maana hapa utachukua ya mwaka wa karibuni kama ni Toyota kodi zake zimesimama sana...
Magari mengi kutoka Ulaya yanatumia mafuta mengi (not fuel efficient)Katika makala hii, tutachunguza sababu kuu zinazosababisha ongezeko kubwa la bei za magari yanayoagizwa kutoka Ulaya hadi Tanzania. Tutajadili kodi, ushuru, gharama za usafirishaji, na athari zake kwa wateja, huku tukitoa mifano halisi na mapendekezo ya jinsi ya kupunguza mzigo huu wa kifedha. Je, serikali inaweza kufanya nini kupunguza gharama hizi na kurahisisha upatikanaji wa magari mapya nchini?
View attachment 3028302
Kujua kwa nini magari yanayoagizwa kutoka Ulaya yana bei kubwa inapoingia Tanzania ni jambo muhimu kwa wateja wengi wanaotaka kuelewa mchakato mzima wa uagizaji na gharama zinazohusika. Katika makala hii, tutachunguza sababu mbalimbali zinazochangia ongezeko hili la bei na kutoa mifano halisi.
1. Bei ya Gari Nchini Ulaya
Kuanza, ni muhimu kuelewa bei za magari haya katika soko la Ulaya. Kwa mfano, bei za Range Rover mpya za mwaka 2024 zinaanzia takriban £94,705 (karibu TZS 303,056,500) hadi £207,400 (karibu TZS 663,924,000) [[❞]](https://www.carwow.co.uk/land-rover/range-rover). Bei hizi zinatofautiana kulingana na modeli na vifaa vilivyomo.
2. Kodi na Ushuru Tanzania
Baada ya kununua gari Ulaya, kodi na ushuru mbalimbali unaotozwa na serikali ya Tanzania ni vipengele vikubwa vinavyoongeza gharama:
- Ushuru wa Forodha: 25% ya thamani ya gari.
- VAT: 18% ya thamani ya gari pamoja na ushuru wa forodha.
- Ushuru wa Bidhaa: 10-25% ya thamani ya gari, kulingana na ukubwa wa injini.
- Ada za Bandari na Gharama za Nyongeza: Takriban 5% ya thamani ya gari.
Kwa mfano, kwa gari lenye thamani ya TZS 303,056,500, jumla ya kodi na ushuru inaweza kuwa:
- Ushuru wa Forodha: TZS 75,764,125
- VAT: TZS 68,748,848
- Ushuru wa Bidhaa: TZS 60,611,300
- Ada za Bandari na gharama za nyongeza: TZS 15,152,825
Gharama hizi zinaweza kuongeza jumla ya gharama hadi karibu TZS 530,000,000.
3. Gharama za Usafirishaji
Gharama za usafirishaji kutoka Ulaya kwenda Tanzania ni sehemu nyingine muhimu. Kwa mfano, gharama hizi zinaweza kuwa kati ya £1,500 hadi £2,000 (karibu TZS 4,800,000 hadi TZS 6,400,000).
4. Athari kwa Wateja
Ongezeko la bei ya magari linaathiri wateja kwa njia nyingi:
- Mzigo wa Kifedha: Wateja wanakabiliwa na mzigo mkubwa wa kifedha, ambao unaweza kupunguza uwezo wao wa kununua magari mapya.
- Kuongezeka kwa Uagizaji wa Magari Yaliyotumika: Wateja wengi wanageukia magari yaliyotumika ambayo yanakuwa na bei nafuu, ingawa yanaweza kuhitaji matengenezo zaidi na kuwa na gharama kubwa za uendeshaji.
5. Suluhisho na Mapendekezo
Ili kupunguza mzigo kwa wateja, serikali inaweza kuangalia uwezekano wa kupunguza baadhi ya kodi na ushuru au kutoa motisha kwa wateja wanaonunua magari mapya yenye ufanisi wa nishati na yanayozingatia mazingira. Hii inaweza kusaidia kupunguza gharama na kuhamasisha matumizi ya magari mapya ambayo ni salama na rafiki kwa mazingira.
Hitimisho
Ongezeko la bei za magari yanayoagizwa kutoka Ulaya lina sababu nyingi, ikiwa ni pamoja na kodi na ushuru, gharama za usafirishaji, na ada za bandari. Kuelewa mchakato huu mzima ni muhimu kwa wateja ili waweze kufanya maamuzi sahihi wanapofikiria kuagiza magari kutoka nje. Serikali na wadau wengine wanaweza kuchukua hatua mbalimbali ili kupunguza mzigo huu kwa wateja na kuhamasisha matumizi ya magari mapya nchini.
By Mturutumbi
Kwenye suala matumizi ya mafuta kati ya Hilux na Isuzu wapi pana unafuu mkuu?Elimu za magari zipo nyingi humu na nyuzi zake zipo mkuu cheki kwenye hizo nyuzi ila kwa ufupi pick up ya kwanza shambani tafuta hilux d4d engine...Isuzu ni mwisho wa mkataba ila cheki Toyota kwanza...
Duuh usikwepe kodi ya gari TRA wanajua gari zote zilizokwepa kodi na wanawaleta wadogo kujua VIN zingine tofauti na ile ya wazi inapowekwa wakichukua gari wamechukua fine yake utabaki kuwachukia mpaka unaenda kaburini...wakwepa kodi ni wale wenye hela wakichukua moja maisha yanaenda sio wewe mchimba chumvi ukwepe wengi wanepoteza magari kwa mtindo huo..Nin
Ninasikia kuwa pale SONGEA kuna wana wanakuvushia kupitia Mozambique kutoka SA halafu wakifika Tanganyika wanabadili usajiri na kuna gharama nyingi tu unaokoa.
Diesel mkuu matumizi ni kawaida tu kwa hizo gari..Kwenye suala matumizi ya mafuta kati ya Hilux na Isuzu wapi pana unafuu mkuu?
Dah kweli si mchezoUkiagiza gari nje andaa fedha mara moja na nusu ya uliyonunulia eg kama gari umenunua milioni 10 Japenga basi andaa milioni 15 nyingine mpaka likufukie mkononi.
Simaanishi kukwepa.Duuh usikwepe kodi ya gari TRA wanajua gari zote zilizokwepa kodi na wanawaleta wadogo kujua VIN zingine tofauti na ile ya wazi inapowekwa wakichukua gari wamechukua fine yake utabaki kuwachukia mpaka unaenda kaburini...wakwepa kodi ni wale wenye hela wakichukua moja maisha yanaenda sio wewe mchimba chumvi ukwepe wengi wanepoteza magari kwa mtindo huo..
Hao wamekwepa mkuu wenzio wamefanya wanalia huko ukitaka jaribu kuwatumia mkuu...S
Simaanishi kukwepa.
Inasemekana kuwa kuna ka unafuu flani kwenye kodi kama itaonekana kuwa gari limenunuliwa Mozambique kuingia Tanganyika.
Sina uhakika lkn.
Unataka kuwa na gari ambayo ikifika kipindi fulani unaificha ndani? Uliza vizuri utakuwa mtaji wa polisi.Nin
Ninasikia kuwa pale SONGEA kuna wana wanakuvushia kupitia Mozambique kutoka SA halafu wakifika Tanganyika wanabadili usajiri na kuna gharama nyingi tu unaokoa.
Na ukiwaeleza zaidi wao wanaona wewe haujui madhara yake au haujui hizo njia..Unataka kuwa na gari ambayo ikifika kipindi fulani unaificha ndani? Uliza vizuri utakuwa mtaji wa polisi.
Hapana, kaspecify ulaya..Nafikiri jamaa aliposema Ulaya anamaanisha nje ya TZ(Asia,ULaya,Marekani)