Bado Una Swali: Kwa Nini Bei za Magari Kutoka Ulaya Ziko Juu Sana Tanzania?

Na huyo "mtalii" akiamua kuuza gari lake huko huko alikoenda kutalii Ili yeye arudi kwao na pesa ya mauzo. Ataweza kuleta unafuu kwa mnunuzi? (Hili ndo swali la uliyemjibu).
 
Ni sawa ila lengo langu ni kuzungumzia magari yanayotoka kiwandani direct sio used boss hata hivyo upo sahihi kwani hata gari used mwendo ni ule ule kikubwa bei uliyonunulia ifahamike utalipa vitu vyote vinavyotakiwa!

Nigeria, Rwanda, Morocco, SA, Egypt kuna viwanda pia ndani ya Africa. Nimekupata nonetheless
 
Ok
 
Hiyo Ml 30 ni gharama ya Gari pamoja na usajiri??
Kikokotoo cha TRA kinasema ukileta Toyota hilux ya 2010 utalipia kodi Tsh 33 milioni baada ya hiyo gari kufika Mpakani au bandarini ndio maana zikiwa yard zinauzwa bei kuanzia 65m kuendelea kwa gari za zamani sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…