Huenda bila ya Mbowe kujua chochote Tundu Lissu tayari anaiongoza CHADEMA kama mwenyekiti mpya Kiroho (spiritually)
Kitendo Cha Viongozi mbalimbali wa CHADEMA kutoka hadharani na kumkemea Mbowe waziwazi kinaashiria tayari Mbowe si kiongozi tena Kwenye Ulimwengu wa roho(hapa watu wa Kiroho tu ndio mtanielewa)
Mbowe asishupaze shingo hawezi tena kumshinda Lissu na wale wanaomuunga mkono Mbowe wafanye hivyo kwa tahadhari kubwa kwani ni hakika Tundu Lissu ni Mwenyekiti hivyo waepuke kuonekana wazi wazi wakifanya hivyo.
Kwa namna Mbowe alivyofichuliwa na Lissu kuendelea kumuunga mkono ni sawa na kufanya USALITI kwenye CHADEMA na nijambo baya zaidi ya kuhama chama na kwenda CCM.
Salamu hizi zimfikie kaka yangu Yericko Nyerere na team yake kama kweli wanataka kuendelea kuwa wanachadema wakubaliane na Upepo huu otherwise wajiandae kwa mengine yote.
Soma pia Ntobi avuliwa Uenyekiti mkoa wa Shinyanga kutokana na utovu wa maadili na nidhamu dhidi ya Lissu
NIONAVYO MIMI: MTU YOYOTE ANAYOTAKA KUZUIA MABADILIKO HAYA NDANI YA CHADEMA ATAONEKANA NI MBAYA KULIKO CCM.