Bado Yericko; Huenda kwa sasa kumtetea Mbowe ni hatari zaidi kuliko kulamba sumu kwa ulimi kilichompata Ntobi ni kielelezo cha nguvu halisi ya Lissu

Huenda bila ya Mbowe kujua chochote Tundu Lissu tayari anaiongoza CHADEMA kama mwenyekiti mpya Kiroho (spiritually)

Kitendo Cha Viongozi mbalimbali wa CHADEMA kutoka hadharani na kumkemea Mbowe waziwazi kinaashiria tayari Mbowe si kiongozi tena Kwenye Ulimwengu wa roho(hapa watu wa Kiroho tu ndio mtanielewa)

Mbowe asishupaze shingo hawezi tena kumshinda Lissu na wale wanaomuunga mkono Mbowe wafanye hivyo kwa tahadhari kubwa kwani ni hakika Tundu Lissu ni Mwenyekiti hivyo waepuke kuonekana wazi wazi wakifanya hivyo.

Kwa namna Mbowe alivyofichuliwa na Lissu kuendelea kumuunga mkono ni sawa na kufanya USALITI kwenye CHADEMA na nijambo baya zaidi ya kuhama chama na kwenda CCM.

Salamu hizi zimfikie Yericko Nyerere na genge lake kama kweli wanataka kuendelea kuwa wanachadema wakubaliane na Upepo huu otherwise wajiandae kwa mengine yote.

Soma pia Ntobi avuliwa Uenyekiti mkoa wa Shinyanga kutokana na utovu wa maadili na nidhamu dhidi ya Lissu

MTU YOYOTE ANAYOTAKA KUZUIA MABADILIKO NDANI YA CHADEMA NI MBAYA KULIKO CCM.
Nikiwaambia watu dizaini ya Lisu Huwa ni madikteta mnabisha.

Nasisitiza Lisu ana characters zote za Mwendazake and so Chadomo jiandaeni kisaikolojia kuburuzwa Ikitokea bahati mbaya mtu kama Lissu na wafuasi wake wa Itikadi kali anakuwa Rais, tutarajie hali ya vyuma kukaza kama awamu ya Magufuli
 
Kumvua Ntobi uenyekiti ni mbinu ya kuja kumvua uanachama Lissu. Huyo kijana kafanywa kafara ili kufanikisha lengo la kumwadhibu Lissu.
Wangetamani kufanya hivyo lakini hawawezi kwani matokeo yake yatakuwa mabaya mno,kwanza inaonekana wazi wanatekeleza maelekezo toka CCM ambao ndiyo waasisi wa staili hii ya kumuengua mtu wanayemhofia kuwashinda kwa kura,rejea kilichomkuta Lowasa 2015,na pia rejea chaguzi za serikali za mitaa 2019 na 2024 na hii itadhihirisha kuwa tayari Lissu ameshamshinda Mbowe hata kabla ya kura kupigwa,pili itawakatisha tamaa wajumbe waliokuwa wampigie kura Lissu na watasusia uchaguzi kwani hata akidi ya mkutano haitatimia. Busara Mbowe akubali tu kushindwa kwenye sanduku la kura itamsaidia kubakisha heshima kidogo aliyonayo kwa sasa vinginevyo atakuwa amemaliza mwendo kwa fedheha kubwa.
 
Huenda bila ya Mbowe kujua chochote Tundu Lissu tayari anaiongoza CHADEMA kama mwenyekiti mpya Kiroho (spiritually)

Kitendo Cha Viongozi mbalimbali wa CHADEMA kutoka hadharani na kumkemea Mbowe waziwazi kinaashiria tayari Mbowe si kiongozi tena Kwenye Ulimwengu wa roho(hapa watu wa Kiroho tu ndio mtanielewa)

Mbowe asishupaze shingo hawezi tena kumshinda Lissu na wale wanaomuunga mkono Mbowe wafanye hivyo kwa tahadhari kubwa kwani ni hakika Tundu Lissu ni Mwenyekiti hivyo waepuke kuonekana wazi wazi wakifanya hivyo.

Kwa namna Mbowe alivyofichuliwa na Lissu kuendelea kumuunga mkono ni sawa na kufanya USALITI kwenye CHADEMA na nijambo baya zaidi ya kuhama chama na kwenda CCM.

Salamu hizi zimfikie Yericko Nyerere na genge lake kama kweli wanataka kuendelea kuwa wanachadema wakubaliane na Upepo huu otherwise wajiandae kwa mengine yote.

Soma pia Ntobi avuliwa Uenyekiti mkoa wa Shinyanga kutokana na utovu wa maadili na nidhamu dhidi ya Lissu

MTU YOYOTE ANAYOTAKA KUZUIA MABADILIKO NDANI YA CHADEMA NI MBAYA KULIKO CCM.
Baada ya Ntobisangu anafata FAM na TAL kusimamishwa na hawagombei anakuja mwenyekiti mpya sio hawa wawili na chama kinakua kimenusurika najaribu kuwaza tuu.
 
Ntobi, mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Shinyanga, amesimamishwa uongozi na kamati ya maadili ya kanda ya Serengeti kwa makosa ya kumtukana Lisu kuwa ni mropokaji na shoga, na kwamba huwa anaenda Ubelgiji kwa mume wake.

Kwa hiyo Ntobi, ambaye huenda ana matatizo ya afya ya akili, siyo mwenyekiti tena.
Uchawa ukizidi Akili inapotea
 
Aiseeee hiv Mbowe anaichukuliaje credibility yake mpaka kuzingirwa na watu wa hovyo namna hii wanaojinasibj kumpigia debe??
 
ule ni mtego, usishangilie saana kijana.
 
Na jaribu kuwaza tu hivi nini kitatokea ndanibya Chadema endapo Mbowe atapita katika huo uchaguzi. Jaribu kufikiria tu kuwa mpaka sas zaidi ya majimbo manne yamempendekeza Lissu awe ndo Mwenyekiti Je asipopita itakuwaje.

Hekima ya Mbowe ile wanayosema yuko nayo sikuzote inatakiwa kutumika sasa.
Unadhani CHADEMA itabaki katika hali gani? Baada ya mbowe kushinda??
 
Huenda bila ya Mbowe kujua chochote Tundu Lissu tayari anaiongoza CHADEMA kama mwenyekiti mpya Kiroho (spiritually)

Kitendo Cha Viongozi mbalimbali wa CHADEMA kutoka hadharani na kumkemea Mbowe waziwazi kinaashiria tayari Mbowe si kiongozi tena Kwenye Ulimwengu wa roho(hapa watu wa Kiroho tu ndio mtanielewa)

Mbowe asishupaze shingo hawezi tena kumshinda Lissu na wale wanaomuunga mkono Mbowe wafanye hivyo kwa tahadhari kubwa kwani ni hakika Tundu Lissu ni Mwenyekiti hivyo waepuke kuonekana wazi wazi wakifanya hivyo.

Kwa namna Mbowe alivyofichuliwa na Lissu kuendelea kumuunga mkono ni sawa na kufanya USALITI kwenye CHADEMA na nijambo baya zaidi ya kuhama chama na kwenda CCM.

Salamu hizi zimfikie kaka yangu Yericko Nyerere na team yake kama kweli wanataka kuendelea kuwa wanachadema wakubaliane na Upepo huu otherwise wajiandae kwa mengine yote.

Soma pia Ntobi avuliwa Uenyekiti mkoa wa Shinyanga kutokana na utovu wa maadili na nidhamu dhidi ya Lissu

NIONAVYO MIMI: MTU YOYOTE ANAYOTAKA KUZUIA MABADILIKO HAYA NDANI YA CHADEMA ATAONEKANA NI MBAYA KULIKO CCM.
Tatizo la Tanzania waongeaji ni wengi sana lakini wafuatiliaji halisi wa kile kinachoongelewa ni wachache. Wapiga kura wala hawamo kwenye majukwaa ya maongezi.

Mbowe anashinda uchaguzi tena mapema sana.
 
Back
Top Bottom