Bado Yericko; Huenda kwa sasa kumtetea Mbowe ni hatari zaidi kuliko kulamba sumu kwa ulimi kilichompata Ntobi ni kielelezo cha nguvu halisi ya Lissu

Nikiwaambia watu dizaini ya Lisu Huwa ni madikteta mnabisha.

Nasisitiza Lisu ana characters zote za Mwendazake and so Chadomo jiandaeni kisaikolojia kuburuzwa Ikitokea bahati mbaya mtu kama Lissu na wafuasi wake wa Itikadi kali anakuwa Rais, tutarajie hali ya vyuma kukaza kama awamu ya Magufuli
 
Kumvua Ntobi uenyekiti ni mbinu ya kuja kumvua uanachama Lissu. Huyo kijana kafanywa kafara ili kufanikisha lengo la kumwadhibu Lissu.
Wangetamani kufanya hivyo lakini hawawezi kwani matokeo yake yatakuwa mabaya mno,kwanza inaonekana wazi wanatekeleza maelekezo toka CCM ambao ndiyo waasisi wa staili hii ya kumuengua mtu wanayemhofia kuwashinda kwa kura,rejea kilichomkuta Lowasa 2015,na pia rejea chaguzi za serikali za mitaa 2019 na 2024 na hii itadhihirisha kuwa tayari Lissu ameshamshinda Mbowe hata kabla ya kura kupigwa,pili itawakatisha tamaa wajumbe waliokuwa wampigie kura Lissu na watasusia uchaguzi kwani hata akidi ya mkutano haitatimia. Busara Mbowe akubali tu kushindwa kwenye sanduku la kura itamsaidia kubakisha heshima kidogo aliyonayo kwa sasa vinginevyo atakuwa amemaliza mwendo kwa fedheha kubwa.
 
Baada ya Ntobisangu anafata FAM na TAL kusimamishwa na hawagombei anakuja mwenyekiti mpya sio hawa wawili na chama kinakua kimenusurika najaribu kuwaza tuu.
 
Uchawa ukizidi Akili inapotea
 
Aiseeee hiv Mbowe anaichukuliaje credibility yake mpaka kuzingirwa na watu wa hovyo namna hii wanaojinasibj kumpigia debe??
 
ule ni mtego, usishangilie saana kijana.
 
Unadhani CHADEMA itabaki katika hali gani? Baada ya mbowe kushinda??
 
Tatizo la Tanzania waongeaji ni wengi sana lakini wafuatiliaji halisi wa kile kinachoongelewa ni wachache. Wapiga kura wala hawamo kwenye majukwaa ya maongezi.

Mbowe anashinda uchaguzi tena mapema sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…