Bado zipo sababu kwa familia ya Lissu kuishi Ulaya? Je Lissu haoni kuwa jambo hili linampunguzia uzito kisiasa?

ccm mlaaniwe, unakaa hapo ccm wenzako watoto wao wako ulaya wanasomea kuja kuwa mawaziri wewe uko hapo unatoka makamasi puani na misemo ya nani kama mama......Ridhiwani, Nape, Makamba, Nyerere, just to mention a few!
 
Kaolewe wewe uwe mke wa pili utasaidia sana
 
ccm mlaaniwe, unakaa hapo ccm wenzako watoto wao wako ulaya wanasomea kuja kuwa mawaziri wewe uko hapo unatoka makamasi puani na misemo ya nani kama mama......Ridhiwani, Nape, Makamba, Nyerere, just to mention a few!
😁😁 umechafukwa sasa
 
Mkewe si umesema unajua yupo ulaya sasa unauliza nini tena wakati umepewa kibali cha kupigwa miti?
Huna matusi mapya?

Naona mke wa Lissu unahasira sana,, tuuu! Nimetema mate chini
 
Familia ya Lissu kuishi ulaya mi inanihusu vipi wajameni
 
wanae wako masomoni nje ya nchi. pia hapa tanzania ajira ni chache hivyo sio vibaya mkewe akitafuta ajira nje ya nchi.
 
Huna matusi mapya?

Naona mke wa Lissu unahasira sana,, tuuu! Nimetema mate chini
Haya badi wewe ni shogake uliyefukuzwa ulaya unataka akubandue. Messages za kingese eti ptuu nakutema mate. Ugasho mbaya sana unaachia mishuzi tu bloodymengelesi.
 
Acha ujinga, hakuna ubaya kuishi ulaya, hapa bongo tunategemea pesa za ulaya na America kuishi, kama pesa zao ni tamu, itakuwaje kuishi ulaya iwe vibaya? Wanasiasa wengi wakiugua tu, Hawakimbilii mloganzira wanaenda ulaya!
 
Lissu anauhakika kabisa kuwa hawezi kubadili lolote nchini,hivyo anafanya maigizo kisha arudi alikotoka.
 
Kwa hivyo ni Lissu peke ndo wanae wapo Ulaya? Wewe kwenu hakuna ndugu hata mmoja anayeishi Ulaya?

Kama hakuna basi fanyeni hima kujielimisha na kujitafutia maendeleo.

Akina Kikwete, Samia, Kinana na hata Bashite wanamiliki kabisa nyumba Ulaya na Marekani achilia mbali hoja ya watoto wa Lissu kusoma Marekani au mkewe kufanya kazi Ulaya, mambo ya kawaida haya ila maskini ndo mnayaona mazito
 
Haya badi wewe ni shogake uliyefukuzwa ulaya unataka akubandue. Messages za kingese eti ptuu nakutema mate. Ugasho mbaya sana unaachia mishuzi tu bloodymengelesi.
Akili ya mtu asiye na akili, kumwendekeza pia ni ujinga, stakujibu chochote mwehu mmoja wewe
 
Toka lini ukamuamini Lissu? Huyu yupo kimaslahi, tena ya kwake na familia yake. Jikomboe, usidanganyike... Lissu hakukomboi hata siku moja.
Utachoweza kufanya ni kumpuuza na kumtosa kwa kila asemalo. Hafai kabisa huyuuuu.
Ila tumuamini January Makamba.
 
Unazo sababu kwa vidokezo vyako hivi, ila kishawishi cha hiki unachokisema, umebaki nacho kwenye akili yako

Funguka mkuu, kwa nini unasema Lissu amekuja ili ajipe manufaa yeye na siyo Watanzania wote?
Yaani mkuu watoto wako wapate nafasi ya kusoma ulaya uwarudishe Tanzania kwa ajili ya siasa, ambazo tume ya uchaguzi si huru, na chini ya katiba mbovu! Kwahiyo kama Lisu anapapenda hapa Tanzania, ni lazima na wato wake wapapende? Au kwa sababu nyie majizi mnashirikisha watoto wenu kwenye cake ya Taifa, ni lazima Kila mtu amshirikishe mtoto wake kwenye hayo mambo?
 
Acha upopomaa wewe.
 
Bongo nyoso, Ulaya kutamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…