juan moses
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 2,403
- 2,478
Mbona wewe uko huko?Badoo.
Hahaha pole kaka.
Nimefyatua wa kutosha huko.
Ila kama ulivyosema ule mtandao ni kupandiana dau na mgegedo tu.
So hata mimi nikikuta mke wanfu,gf,au dada au mwanamke nimjuae huko namshusha thamani hapohapo..
Kosa kubwa wanaume wanalofanya ni kuwaamini wanawake, mwanamke haaminiki, mwanamke wa kuamini ni mmoja tu mama yako.
I hate to break this but don't u see dem wako anajiuza?
Besides she is too low hana hata classy?wht do u do with 20000?
It means hafanyi kazi na ni kula kulala unanishangaza u ddnt see this coming all men take t from me,dem wako/mkeo/rafiki wa kike akikuambia au u found out kwamba yuko badoo dump her,neno moja tu anajiuza!what else's chick cab be doing on badooo?zaid ya kutafuta wasa.gaji wenzie,masho.ga na kujiuza?
Ambao hatujaoa tuwe macho
Nimefika sasa sijajua hii thread inanihusu vip mimi by the way Nimeitikia wito
jiunge baddoo,alafu ziombe kwenye private picture utapata ata za kujaza flash ya G 4Mkuu hizo picha nitumie tu mimi.
Errr, kuna research thesis nafanya kuhusu Cyber Crime Law Enforcement Lol.
jiunge baddoo,alafu ziombe kwenye private picture utapata ata za kujaza flash ya G 4
Jamii yetu tunaishi kinafiki sana na ukitaka kuamini hili ni taarifa za TACAIDS zinazosema maambukizi kwa wanandoa yapo juu sana. Suala la ukosefu wa uaminifu ni letu sote bila kujali jinsi. Binafsi ningekuwa mm ndio wewe wala nisingepaniki. Ningemweleza bayana na kumwacha nisingemwacha.