Badoo inanivunjia uchumba wangu

Ila na yeye baba yako hamuamini
Of coz baba yako hamuamini mama yako kwa sababu kwake yeye ni mwanamke tu kama wanawake wengine. Lakini hata yeye baba anamuamini mama yake ambaye ni bibi yako ambaye naye haaminiwi na babu yako and chain continues....
 

hahaaaaa sawa nimekuelewa..
dem nae kwel kaharibu vibaya....
 
 
unafanya kosa kubwa Sana,pale sinza hotel ungechukua room,then ukamsubir,mwisho wa siku anagonga mlango unamuambia ingia,unajibanza wash room,unatoka anakuona wewe.
hapo ungemaliza mchezo.one more advice mwambie kila kitu,ukiendelea kumficha unaharibu.
 
Of coz baba yako hamuamini mama yako kwa sababu kwake yeye ni mwanamke tu kama wanawake wengine. Lakini hata yeye baba anamuamini mama yake ambaye ni bibi yako ambaye naye haaminiwi na babu yako and chain continues....

hahah well said mkuu,,hili cheni cjui linaishia wp asee
 

uko chaka mbaya mkuu...
 
Acha zako ww unaanzaje kumsamehe mtu wa namna iyo,amuache tu time heals everything as time goes on he will be able to forget her and move on with ihis life.he shouldn't feel pity on her at all.
kuna tofauti kati ya samehe na kumsamehe. hv huko shule mnaenda kusomea ujinga?
 

Sio mkeo mle tigo halafu sepa ndio maisha
 
Achana nae.atakupa magonjwa bureee!Lakini mpe ukweli wote&umwambie sioi malaya.picha zake muoneshe ili ajue kuwa wewe unajua anachofanya.NDOA SIO KITU CHA MAJARIBIO,NA AKIFUNGA NDOA NDO ATAKUWA ZAIDI YA HAPO.
 
Weka appointment tena. Umsubiri chumbani. Bila shaka atakuacha mwenyewe kwa aibu kuu. Tahadhari. Kama ana weak heart anaweza anguka chini.
 
Kutongozwa tunatongozwa ila huyu amezidi lol ndo nn kumkandika ex wako na picha anatuma bila aibu. Hapo either mpe appointment mkutane guest ajionee mwenyewe au mtumie namba yako ya simu tena mkiwa mmekaa wote afu sikilizia atasemaje.
 
Pole kaka na nivizuri umetambua kwamba hakufaii achana nae maana sio mwaminifu amekuponda sana ipo siku ataambiwa akutilie sumu ufe aolewe na msela mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…