Badoo inanivunjia uchumba wangu


Wewe ni Me au Ke?
 
kuna watu mna fikira za ajabu.na hizi fikira za kusema usimuchunguze sana bata mimi nazipinga sana.Mimi nasema chunguza tena sana tu na ukibaini ni mshenzi achana nae wapo wanawake safi kibao tu unahitaji mda na umakini tu kumpata mmoja.
Lakini habari za kuishi na mtu usiyemwamini halafu ukajikaza ipo siku utapigwa sumu. Na kifo cha kizembe ni ujinga
 
Huyo dada hafai, huo muda wa kufanya uchafu Kama huo na wakati una mpenzi wako sijui aliupata wapi?

Muache hafai hata kidogo
 
Sikushauri kusambaza hizo picha kaka. Vuta subira wala usimfanyie hasira. Haya mambo yapo sana tu. Cha muhimu wachana nae kwa roho safi tu ipo siku utapata mwingine na huyu utamsahau. Najua inauma sana hasa kupoteza muda wa kuwa naye na pia kupata huyo mwingine maana si chini ya mwaka. Ila vumilia huwezi jua mungu kakuepusha na janga gani. Shukuru kwamba umeyajua haya mapema
 
ulitakiwa ukutane Naye live hapo sinza lodge na kwakuwa alishakuahidi 0713, ungemdai akupe upige halafu ndo umpige chini.
 
Mkuu usiweke picha zake sehemu yoyote ile, uckubali wajinga muwe wawili, kwani yaweza galimu maisha, muweke wazi kisha mteme, hafahi huyo, kudadeki zake, anakubali kutoa tigo, ila mpe onyo akikufatilia utaweka mambo wazi.
 

mapenzi hayana formula ndugu yangu sisi tutakushauri lakini maamuzi ni kwako na halmashauri ya kichwa chako
 
Alafu ndoa zenu si ndio zile sijui till death do us apart.... mbuzi kwenye gunia hiyo.
 
Pole mkuu.... Forgive and forget usimlipize wala kumtumsi hata kumpiga. Mwambie kwa upole yote uliyo yaandika then fanya ujue ni kwanini alifanya hivyo itakusaidia kwa baadae ukijua kwanini alitaka kukusaliti.
 
Mmmm mbona hili li-story nliwahi gongana nalo mahali back in days ? ni ile ile au ni zinafanana mimi imenikera maana ilisha-exist hiki kisa ni cha muda sana too sill πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Mmmm mbona hili li-story nliwahi gongana nalo mahali back in days ? ni ile ile au ni zinafanana mimi imenikera maana ilisha-exist hiki kisa ni cha muda sana too sill πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
Mkuu kwan huoni hii story ni yalini? Toka 2015 mkΓΌu cheki vizur
 
MNAPENDANA SANA AU UNAMPENDA SANA? nisaidie kwanza hilo swali ndo nikupe maoni.
 
Daaah mkuuu sina lakukushurii ila pongezi zako umecheza kama peleeee
nimefurahi sana hii trick aliyotumia huyu mtoa mada aisee. Na mimi nataka nicopy na kupaste sehemu nione kama nitashinda looooh, cjui wangu atakuwa badoo kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…