Nimekuwa nikikakaa Sana haya maeneo ya Bagamoyo, kunakipindi cha Kati hapo, wazee walianza kumchukia Sana Magufuli
Lakini kama mnakumbuka Mh Magu alikuja Bagamoyo kufungua barabara Bagamoyo to Msata, pale darajani wenyeji huita mtoni
Kulikuwepo mgogoro mkubwa Sana Kati ya wananchi na eneo la Magereza Bagamoyo
Mgogoro ule ulikuwa ni Aridhi ya wananchi ilikuwa imechukuliwa na Magereza, mashamba Yale yaliporudishwa Tu Kwa wananchi, aaaah basi,
Na hili Jambo la Corona, limempa kuaminiwa Sana na waislam wote huku Bagamoyo na kumuona shujaa Baada ya msimamo wake JPm kuwa hatafunga miskiti na makanisa, watu wataingia na kumwomba Mungu, yote tisa, kumi, ni pale Corona ilipoondoka kabisa,
JPM anakura zote za watu wa Bagamoyo