Uchaguzi 2020 Bagamoyo msirudie mlichokifanya kwa CHADEMA leo

Uchaguzi 2020 Bagamoyo msirudie mlichokifanya kwa CHADEMA leo

Mgombea wa chadema anasubiri watu waje kumsikiliza bila mafanikio
mbuzi.jpg
 
Hivi kweli mtu wa chopa atayajua ya kwetu huku chini apite barabarani ajue uchungu wetu.
 
Nimekuwa nikikakaa Sana haya maeneo ya Bagamoyo, kunakipindi cha Kati hapo, wazee walianza kumchukia Sana Magufuli

Lakini kama mnakumbuka Mh Magu alikuja Bagamoyo kufungua barabara Bagamoyo to Msata, pale darajani wenyeji huita mtoni

Kulikuwepo mgogoro mkubwa Sana Kati ya wananchi na eneo la Magereza Bagamoyo

Mgogoro ule ulikuwa ni Aridhi ya wananchi ilikuwa imechukuliwa na Magereza, mashamba Yale yaliporudishwa Tu Kwa wananchi, aaaah basi,

Na hili Jambo la Corona, limempa kuaminiwa Sana na waislam wote huku Bagamoyo na kumuona shujaa Baada ya msimamo wake JPm kuwa hatafunga miskiti na makanisa, watu wataingia na kumwomba Mungu, yote tisa, kumi, ni pale Corona ilipoondoka kabisa,

JPM anakura zote za watu wa Bagamoyo
 
Huyu mtoa mada (Countrywide) mada zake kubwa hapa JF ni kuonyesha Lissu amekosa watu (hana nyomi). Hii ni mara ya tatu hivi anakuja na hizi hadaa.
 
Mkuu hii history bila shaka Shangazi wa Taifa ilimpita😬
Tatizo mtu kama Lisu na baadhi ya vitoto koko vya viongozi vingine havitaki hata kujua historia ndogo tu ya kujua tu udongo uliochanganywa ulichotwa wapi Tanganyika na Zanzibar? Na ile chupa iliochanganywa ule udongo baada ya kuchanganya ilipelekwa wapi na ule udongo?

Kuvunja muungano Lazima ujue siri ya ile chupa ilipo na ukaibomoe ndio unaweza vunja muungano huu wa serikali mbili siri imo bagamoyo kwa custodians wa muungano
 
Bila Diamond platinum, Kiba, n.k Helcopter, ving'ora, msururu wa magari no

Muda huo wa saa nne na saa tano sio rafiki kwa watu kuja kusikiliza kampeni
 
Back
Top Bottom