Wenye wajibu wa kuzika ni ndugu, mke Hana mamlaka mumewe azikwe wapi ila mwanamke akifa mumewe ndio mwenye mamlaka
Imeniuma,mwanaume hakuwa na watu wa karibu wa kumsaidia jamani.Huyo mke ni mzuri sana au?Henry kijana mdogo miaka 40 tu jamani. Too sad.Ndio.
Mkaka wa watu msongo umemmalizaa ndo maana hata majirani wana hasira. Na mume alishaona akifa kwa mke ni sherehe ndo maana akaweka wosia azikwe palee
Mwanamke Hana mamlaka ya wapi mume wake azikwe dhidi ya ndugu wa mumewe.Hivi ukishakuwa na ndoa mwenye haki ya kuzika ni mke au ndugu wa mume?
Naona kama umetukana bila sababu hivi.
Imeniuma,mwanaume hakuwa na watu wa karibu wa kumsaidia jamani.Huyo mke ni mzuri sana au?Henry kijana mdogo miaka 40 tu jamani. Too sad.
Je ukipiga picha kwa simu nyingine ?Sipo kwenye app.Nilijua alipost instagramNimejaribu kuscreenshot kwa mange inakuja screen ya giza. Mange mshenzy sana. Hatak tuibe ubuyuu
Sina simu nyingine hapaJe ukipiga picha kwa simu nyingine ?Sipo kwenye app.Nilijua alipost instagram
Inawezekana aligundua hilo na ameamua hivyo watoto wake wasipate tabu na kutangatanga huko baadaeKwann mtu azikwe nyumbani??? Wakati sehemu za kuzika zipo. Au marehemu hakutaka nyumba yake iuzwe.??? Ila siku hizi watu wanahamisha makaburi na nyumba inauzika vizuri tu
Sio uchagani tu... Wengi wenye maeneo makubwa wanatenga eneo la kuzikwa mapema kabisa....sio ushamba...kwani hata hayo maeneo ya public mji ukikuwa huwa wanafanyaje?? Hata sisi tunawashangaa wanao zikwa kwenye makaburi ya jumla kama wewe unavyo ona ushamba kuzika nyumbani.tukienda nje ya mada kidogo WACHAGGA wanaushamba wa kijinga mno kuhusu suala la kuzikia manyumbani, serikali inatenga maeneo ya pamoja lakin wao uwa wauchu na mali hawataki kuzikwa mbali na nyumba zao, awa jamaa ni wasomi ila kwenye ili la kuzika manyumbani ni failure,
imagine miaka50 mbeleni uko moshi patakuawaje, kila kona makaburi tupu. ustaharabu wa ovyo kabisa huu
Kwa kuwa wewe unasoma sasa hivi baada ya ufafanuzi ndio unaona watu wamekurupuka? Hii habari iliwekwa mapema na haikukamilika huo ufafanuzi umekuja baadae sana. Wewe ndio anza mwanzo utaelewa.Umekuripuka wewe huyo ni msukuma soma habari yote
Angalia PMJe ukipiga picha kwa simu nyingine ?Sipo kwenye app.Nilijua alipost instagram
Ndugu ilitakiwa walijenge kuanzia chiniHilo kaburi huyu mama atakuja kusawazisha na udongo juu
Kwan yanajengwaga kuanzia wapiNdugu ilitakiwa walijenge kuanzia chini
Faraja ya rafiki ni rafiki na ndugu ni ndugu na mke ni mke. Maumivu ya mapenzi hayapoi kirahisi anayeyapoza ni aliyesababisha akijirudii tuuImeniuma,mwanaume hakuwa na watu wa karibu wa kumsaidia jamani.Huyo mke ni mzuri sana au?Henry kijana mdogo miaka 40 tu jamani. Too sad.
WOSIA batili.Sijakuelewa wewe ulitakaje, usia wa marehemu upuuzwe, ikiwa hata serikali yenyewe inaheshimu usia.
Asante mwaya. Kijana msomi sijui ilikuwaje akaoa huyu shangingi.Angalia PM
Pole sana dada...sema hukutumia akili tangu mwanzo ndo mana mpaka muda huu unaandika kama una laana vile.... Ujumbe wako mlangoni umeuona?WOSIA batili.
Wosia ni utashi na maamuzi ya marehemu juu ya mambo yanayokubalika kisheria na aliyo na mamlaka nayo 100%.
Ukifa nyumba inakuwa ya mke, mke hataki kaburi mlangoni. Huna haki hapo tena.
Na huwezi kusema nikifa mke asiuze nyumba wala asipake rangi nyeupe wala asiingize ndani ki ben 10. Nyumba si yako tena!
Mjane kata rufaa iwe fundisho kwa ndugu wa marehemu.
Hapana so aliyesababisha asipojirudi ndo umekufa ?Yaani hapa inatakiwa uwe na support ya watu na wewe mwenyewe ujue kabisa haiwezekani kucontrol binadamu analotaka kukufanyia, na solution ni wewe mwenyewe unareact vipi. Inatakiwa usimame imara kweli kweli,la sivyo unakufa kweli.Msongo wa mawazo ni hatari sana.Faraja ya rafiki ni rafiki na ndugu ni ndugu na mke ni mke. Maumivu ya mapenzi hayapoi kirahisi anayeyapoza ni aliyesababisha akijirudii tuu
Hayo mambo hayanaga gpa wanasema unajikuta tu upo na lishangazi 😃Asante mwaya. Kijana msomi sijui ilikuwaje akaoa huyu shangingi.