Bagamoyo: Mwanamke ashindwa kuzika mwili wa mumewe. Mgogoro wasababisha afunge geti marehemu alikopaswa kuzikwa na kutokomea kusikojulikana

Bagamoyo: Mwanamke ashindwa kuzika mwili wa mumewe. Mgogoro wasababisha afunge geti marehemu alikopaswa kuzikwa na kutokomea kusikojulikana

Hivi ukishakuwa na ndoa mwenye haki ya kuzika ni mke au ndugu wa mume?

Naona kama umetukana bila sababu hivi.
Mwanamke Hana mamlaka ya wapi mume wake azikwe dhidi ya ndugu wa mumewe.
Ila mwanaume Ana mamlaka ya kuamua wapi mkewe azikwe.
Reason, kwa mfumo wa ndoa zetu mwanamke ni sehemu ya Mali za mwanaume.
 
Imeniuma,mwanaume hakuwa na watu wa karibu wa kumsaidia jamani.Huyo mke ni mzuri sana au?Henry kijana mdogo miaka 40 tu jamani. Too sad.

Wanaume wengi wa kisasa wanaendeshwa sana wanawake watoto wa mjini.

Ndoa za kiislamu ndizo zimemuweza mwanamke mjanja mjanja

Wangekuwa waislamu hapo mke angenyweaa
 
Kwann mtu azikwe nyumbani??? Wakati sehemu za kuzika zipo. Au marehemu hakutaka nyumba yake iuzwe.??? Ila siku hizi watu wanahamisha makaburi na nyumba inauzika vizuri tu
Inawezekana aligundua hilo na ameamua hivyo watoto wake wasipate tabu na kutangatanga huko baadae
 
tukienda nje ya mada kidogo WACHAGGA wanaushamba wa kijinga mno kuhusu suala la kuzikia manyumbani, serikali inatenga maeneo ya pamoja lakin wao uwa wauchu na mali hawataki kuzikwa mbali na nyumba zao, awa jamaa ni wasomi ila kwenye ili la kuzika manyumbani ni failure,

imagine miaka50 mbeleni uko moshi patakuawaje, kila kona makaburi tupu. ustaharabu wa ovyo kabisa huu
Sio uchagani tu... Wengi wenye maeneo makubwa wanatenga eneo la kuzikwa mapema kabisa....sio ushamba...kwani hata hayo maeneo ya public mji ukikuwa huwa wanafanyaje?? Hata sisi tunawashangaa wanao zikwa kwenye makaburi ya jumla kama wewe unavyo ona ushamba kuzika nyumbani.
 
Umekuripuka wewe huyo ni msukuma soma habari yote
Kwa kuwa wewe unasoma sasa hivi baada ya ufafanuzi ndio unaona watu wamekurupuka? Hii habari iliwekwa mapema na haikukamilika huo ufafanuzi umekuja baadae sana. Wewe ndio anza mwanzo utaelewa.
 
Sijakuelewa wewe ulitakaje, usia wa marehemu upuuzwe, ikiwa hata serikali yenyewe inaheshimu usia.
WOSIA batili.

Wosia ni utashi na maamuzi ya marehemu juu ya mambo aliyo na mamlaka nayo 100% na yanayokubalika kisheria.

Ukifa nyumba inakuwa ya mjane, na mjane hataki kaburi mlangoni. Huna haki ya wosia kutaka kuzikwa hapo.

Na huwezi kusema nikifa mke asiuze nyumba wala asipake rangi ya kijivu wala asiingize ndani ki ben 10. Nyumba si yako tena!

Mjane kata rufaa.
 
P
WOSIA batili.

Wosia ni utashi na maamuzi ya marehemu juu ya mambo yanayokubalika kisheria na aliyo na mamlaka nayo 100%.

Ukifa nyumba inakuwa ya mke, mke hataki kaburi mlangoni. Huna haki hapo tena.

Na huwezi kusema nikifa mke asiuze nyumba wala asipake rangi nyeupe wala asiingize ndani ki ben 10. Nyumba si yako tena!

Mjane kata rufaa iwe fundisho kwa ndugu wa marehemu.
Pole sana dada...sema hukutumia akili tangu mwanzo ndo mana mpaka muda huu unaandika kama una laana vile.... Ujumbe wako mlangoni umeuona?
 
Faraja ya rafiki ni rafiki na ndugu ni ndugu na mke ni mke. Maumivu ya mapenzi hayapoi kirahisi anayeyapoza ni aliyesababisha akijirudii tuu
Hapana so aliyesababisha asipojirudi ndo umekufa ?Yaani hapa inatakiwa uwe na support ya watu na wewe mwenyewe ujue kabisa haiwezekani kucontrol binadamu analotaka kukufanyia, na solution ni wewe mwenyewe unareact vipi. Inatakiwa usimame imara kweli kweli,la sivyo unakufa kweli.Msongo wa mawazo ni hatari sana.
 
Back
Top Bottom