Kinumbo
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 3,039
- 5,560
Na huu ndio utamaduni wa muafrika
Wenye wajibu wa kuzika ni ndugu, mke Hana mamlaka mumewe azikwe wapi ila mwanamke akifa mumewe ndio mwenye mamlaka