Bagamoyo: Mwanamke ashindwa kuzika mwili wa mumewe. Mgogoro wasababisha afunge geti marehemu alikopaswa kuzikwa na kutokomea kusikojulikana

Mhhhh kazi ipo...hivi siku hzi mtu unaweza ukawa unafanya kazi Daslamu na makazi bagamoyo eee...kweli mji umekua

Kiharaka Magengeni(Bagamoyo) ni karibu kabisa na Mbweni ,yaani kutoka Kiharaka Magengeni(Bagamoyo) hadi Stand ya Magari ya Mbweni - Makumbusho ni Umbali wa mita kama 300 hivi , Kiharaka Magengeni imepakana na Kambi ya Jeshi Mbweni.

Sasa cha kushangaza mtu anayekaa Kibaha na kufanya kazi posta anaweza kuwahi kazini na wewe ambaye unakaa Mbagala unafanya kazi posta ukachelewa na wote mmetoka muda mmoja.
 
Marehemu alishaacha wosia azikwe bagamoyo. Mke ndo amegoma kwa sababu za kibiashara. Mahakama imetoa amri mke ametoroka hajazika mimewe. Na hapo awali mke alishafumaniwa na picha zake zilichafua hali ya hewa kwa mange

Huyo Mwanamke wake huenda alimfanyizia madawa ya kumuua taratibu maana kifo chake kilivyo kama ni korona hivi maana kila siku condition ilikuwa inabadilika na anashindwa kupumua,jamaa alikuwa msomi hasa alikuwa na Masters ,kama mkewe alichafua hali ya hewa kwa Mange basi alikuwa madada wa mujini ambao Pesa Mbele kama Tai.
 
Huyo mwanamke amemsumbua sana huyo baba hata kumpelekea kifo chake kwa kupata Sonona

Wasomi huwa wanavagaa sana Madege ya jeshi ,ilikuwaje masawe akalivamia hilo DEGE LA JESHI? Kama alimfumania hakika amechangia kumpa magonjwa mmewe yaliyotokana na stress ,nina uhakika huyo manzi alimpa sumu ya kumuua taratibu ,haiwezekani iwe corona tu maana hadi hospital alikuwa hayupo kwenye critical kivile ila ndiyo hivyo tu kila siku condition ilikuwa inabadilika na kushindwa kupumua.
 
Marehemu alishaacha wosia azikwe bagamoyo. Mke ndo amegoma kwa sababu za kibiashara. Mahakama imetoa amri mke ametoroka hajazika mimewe. Na hapo awali mke alishafumaniwa na picha zake zilichafua hali ya hewa kwa mange
Probability ya make kumuua mumewe ni kubwa, sio Kwa uchu huo hata marehemu hajapumzishwa
 
Mimi nishadate na mchaga wa old moshi nikawa namtania alikuwa anachukia japo alinicheat akabeba mimba uko

Hila mwanamke wa kimachame muogope sana akishajua hapa pesa hipo kifo kinakuhusj
Huyu mwanamke kamuondoa jamaa,
Unawezaje kupata guts za kupangisha nyumba ya urithi hata mazishi Bado, ni mpumbav sn huyu mwanamke
 
Sahii kabisa, huwez fiwa mmeo kipenzi usihudhurie msiba wake,huyu kamuua mmewe
 


Hapa Chini alikuwa na Marehemu Hospital ,kilichonishangaza ni Tabasamu lake huku Mmewe ni Mgonjwa.

 
Kampiga sumu ya dawa ya macho uyo🥲
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…