King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Mhhhh kazi ipo...hivi siku hzi mtu unaweza ukawa unafanya kazi Daslamu na makazi bagamoyo eee...kweli mji umekua
Kiharaka Magengeni(Bagamoyo) ni karibu kabisa na Mbweni ,yaani kutoka Kiharaka Magengeni(Bagamoyo) hadi Stand ya Magari ya Mbweni - Makumbusho ni Umbali wa mita kama 300 hivi , Kiharaka Magengeni imepakana na Kambi ya Jeshi Mbweni.
Sasa cha kushangaza mtu anayekaa Kibaha na kufanya kazi posta anaweza kuwahi kazini na wewe ambaye unakaa Mbagala unafanya kazi posta ukachelewa na wote mmetoka muda mmoja.