Ndio.
Mkaka wa watu msongo umemmalizaa ndo maana hata majirani wana hasira. Na mume alishaona akifa kwa mke ni sherehe ndo maana akaweka wosia azikwe palee
tukienda nje ya mada kidogo WACHAGGA wanaushamba wa kijinga mno kuhusu suala la kuzikia manyumbani, serikali inatenga maeneo ya pamoja lakin wao uwa wauchu na mali hawataki kuzikwa mbali na nyumba zao, awa jamaa ni wasomi ila kwenye ili la kuzika manyumbani ni failure,
imagine miaka50 mbeleni uko moshi patakuawaje, kila kona makaburi tupu. ustaharabu wa ovyo kabisa huu
😂😂😂😂😂WAFIWA WAMEONA ISIWE TABU WAMEMUWEKEA MKE UA LAKE MLANGO AKIJA AMALIZIE KUZIKA. WAKAMUINGANISHIA NA BANGO[emoji119][emoji22] “MTAKA NYINGI NASABA HUPATA MINGI MISIBA”View attachment 2494264View attachment 2494265
Weupe na taaaaako vilimponza labdaaIla inasemekana Kaka alishapigwa matukio toka uchumba
Sijui alilogwa maskini ya Mungu[emoji22]
Weupe na taaaaako vilimponza labdaa
Kuna wanaume wapumbavu TU km wanawake au ndo hizo ndumbaIla inasemekana Kaka alishapigwa matukio toka uchumba
Sijui alilogwa maskini ya Mungu[emoji22]
Wanaume wa siku hizi wanaoa Tako na suraWeupe na taaaaako vilimponza labdaa
Marehemu alitaka azikwe kwake bagamoyoHivi ukishakuwa na ndoa mwenye haki ya kuzika ni mke au ndugu wa mume?
Naona kama umetukana bila sababu hivi.
Matakwa ya Marehemu yalikuwa azikwe hapo hapo nyumbani kwakeHivi ukishakuwa na ndoa mwenye haki ya kuzika ni mke au ndugu wa mume?
Naona kama umetukana bila sababu hivi.
Jina la asili ya Ziwani huko.Kifo cha Henry ikute kauliwa na mkewe .Mkewe may be lengo lake lilikuwa ni kuuza nyumba. Mkewe anaitwa nani vile ?Full name please.
Soma stori nzima mzee; marehemu enzi za uhai wake alishaacha wosia azikwe hapo. Baada ya kifo mke analazimisha akazikwe kwao Kilimanjaro. Huoni tatizo?Nisichoelewa ndugu wanaweza kumpangia mjane halali namna ya matumizi ya nyumba yake au wapi amzike mme wake?
Ila namlaumu marehemu; kwanini alikubali kuishi katika mateso makali namna ile? Hata kama ni suala la ndoa that was too much.Ndio.
Mkaka wa watu msongo umemmalizaa ndo maana hata majirani wana hasira. Na mume alishaona akifa kwa mke ni sherehe ndo maana akaweka wosia azikwe palee
Limejengewa.Angalia video kwa Millard AyoNdugu ilitakiwa walijenge kuanzia chini
Una gubu ka mke wa marehemu..kwani kila kitu lazima ukijue? Basi ungeuliza kistarabu sio kumpandishia mtu hivyo.Hii BOMA maana yake nini? Weka kiswahili chake hapa ueleweke, sio wote tunaweza elewa matumizi ya neno hilo.
Nitokako mimi BOMA ni nyumba kubwa isiyoisha. Hapo umemaanisha nini?