Bado tunasisitiza vijana kuoa wanawake wa saizi zao wataoweza kuwamudu, ndugu zangu tusiangalie Tako, sijui mweupe, sijui pisi Kali, jiangalie na uwezo wako wa kumudu hayo mengine ni ziada, lakini ukiangalia hayo, ukiyumba kidogo tu utachapiwa mpaka ndani kwako, ukijifanya uko bize kumtafutia aishi vizuri Bado utachapiwa, akiona unambana bana ndio kama hivyo anakupiga tukio, hebu waza hapa duniani unapitia mateso, huzuni, msongo wa mawazo, ukifa bado ukutane na bakora(Kwa mujibu wa Muslim), au ziwa la moto (Kwa mujibu was christian) utaponea wapi sasa, yaani ukichimama nchale, ukichuchumaa nchale, ukikaa nchale