Ina semekana kuna mzungu alitaka kuinunua ndio hapo valangati likaanza.Kwahiyo marehemu hajazikwa?? Huyo alitaka aiuze nyumba maana si unajua huwezi uza nyumba na kaburi
We akili zako ziko sawa kweli? Au ulitaka tu kuongelea dini yako?!?!? Hapa tatizo lililo pelekea kuchelewa kuzikwa hukuliona au ulitaka azikwe kwako?.... Eti upumbavu wa kikristo!!!! Ebu heshimu imani za watu mana hata yako ni ngumu kwa wengine.Hapa ishu sio USUKUMA, na sio UCHAGA ni UPUMBAVU WA DINI YA KIKRISTO TU.
Waislam kesi kama hizi husikii, umekufa saa 10 alfajiri basi saa 7 Mchana wake baada ya Swala ya adhuhur unazikwa na mambo yanapita.
Tuwe na utaratibu wa kuzingatia dini zetu, hii migogoro huwezi isikia.
Ukisoma kilicho andikwa humu utaelewa.Nisichoelewa ndugu wanaweza kumpangia mjane halali namna ya matumizi ya nyumba yake au wapi amzike mme wake?
Ndo inakuwaga hivyo,, na hasa mmoja akishajua anapendwa basi tegemeo ukatili na unyanyasaji tuNa maranyingi akimpata mwenye utu anamchezea
Marehemu kamaliza mwendo wake...jifunze usirudie kosa.Ila namlaumu marehemu; kwanini alikubali kuishi katika mateso makali namna ile? Hata kama ni suala la ndoa that was too much.
Mke alitaka kuuza mji na labda kudhulumu watotoBaadhi ya Waombolezaji kwenye msiba wa Kijana Henry Massawe aliyekua Mkazi wa Kiaraka Magengeni, Bagamoyo Mkoani Pwani, wamelazimika kuvunja geiti la nyumbani kwa Marehemu ili kuingia kumzika baada ya kukuta geiti hilo limefungwa huku Mke wake akiwa hajulikani alipo ikiwa ni muda mfupi tu baada ya Mahakama ya Bagamoyo kuamuru Marehemu azikwe Bagamoyo na sio Kilimanjaro kama alivyotaka Mkewe.
kabla ya kuvunjwa kwa geiti hilo Waombolezaji walikua wamekaa nje wakati wote na baada ya hapo wakaingia na kuuvunja pia mlango wa nyumba ya Marehemu ili mwili uingizwe sebuleni kama ilivyo taratibu za misiba ya kikristo.
Henry Massawe alifariki January 16, 2023 na mwili wake ulisubiri kuzikwa kwa wakati wote huo kutokana na mgogoro uliokuwepo baina ya Ndugu wa Marehemu waliotaka azikwe nyumbani kwake Bagamoyo huku Mke wa Marehemu akitaka azikwe Kilimanjaro kabla ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Bagamoyo Vedatus Mwalia kuamua kuwa Marehemu azikwe Bagamoyo ,
Mahakama ya Bagamoyo mkoani Pwani leo January 24 2023 kuamuru mwili wa Henry Massawe kuzikwa nyumbani kwake Kiaraka, Bagamoyo kama watakavyo Ndugu zake na kutupilia mbali hoja za Mke wake aliyetaka akazikwe Mkoani Kilimanjaro, Ndugu Jamaa na Marafiki waliojitokeza kwa ajili ya maziko ya Marehemu Henry wamekuta geti la nyumbani kwake limefungwa huku ikielezwa kuwa Mkewe hajulikani alipo,
Mrema nae kazikwa kwake hao ni wachaga Mila zao ,Kuna jamaa alikuwa anaitwa kikore alifariki akazikwa kwake nyumba yake ipo katika ya mji kabisa wametoa paving block wakamzikq humo.Ilaa huyu jamaa alikuwa na Mbinafsi sanaa labda kamaa Mkewe kashiriki kumlazaa pemaa na jamaa kaona sababu ya mali sasa wacha nijengee kaburii hapaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mke wake kumbe alikuwaa malayaaa eehe.. safi sanaa acha apambane sasaMarehemu alishaacha wosia azikwe bagamoyo. Mke ndo amegoma kwa sababu za kibiashara. Mahakama imetoa amri mke ametoroka hajazika mimewe. Na hapo awali mke alishafumaniwa na picha zake zilichafua hali ya hewa kwa mange
Ni UPUMBAVU wa UKRISTO. Uislam hauna huo muda wa sijui tusubiri nini mara vile, ni tunazika na chap mtu anastirika, kuna vitu mnataka kuendekeza havina maana. Ushawahi sikia ujinga kama huo kwa waislam??We akili zako ziko sawa kweli? Au ulitaka tu kuongelea dini yako?!?!? Hapa tatizo lililo pelekea kuchelewa kuzikwa hukuliona au ulitaka azikwe kwako?.... Eti upumbavu wa kikristo!!!! Ebu heshimu imani za watu mana hata yako ni ngumu kwa wengine.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Misingi imara ndo kuwahi kuzikaa???Ni UPUMBAVU wa UKRISTO. Uislam hauna huo muda wa sijui tusubiri nini mara vile, ni tunazika na chap mtu anastirika, kuna vitu mnataka kuendekeza havina maana. Ushawahi sikia ujinga kama huo kwa waislam??
Ila kwenye Ukristo utasikia kila sehemu, wala sio wachaga peke yao, Mnawaonea tu ishu hapo ni ujinga wa Dini yenu.
Wekeni misingi imara na sheria imara, MFALME WA OMAN anakufa saa 1 asubuhi na saa 7 mchana anazikwa iwe huyo boya asiyekuwa hata na uhakika wa kuwa na boxer 100??
Mkewe niliona picha fulani huko twitter ni white fulani ivi na ana mwili kama Yale mashangingi ya bar na niko sahihi atakuwa ni mlevi yule mke..Mke wake kumbe alikuwaa malayaaa eehe.. safi sanaa acha apambane sasa
Mm km mwenyekiti wa wasukuma huyo pimbi sio msukuma wanawake wa kisukuma hawana tamaaa za kisenge km za huyo pimbiWe mjinga kama huyo demu.
Kwa taarifa marehemu alisema azikwe hapo, ila mwanamke wa kisukuma kwa kushirikiana na mama yake wakaenda kuweka court injuction hawataki azikwe hapo eti wanataka wauze hilo eneo(upunguani)
Kuna wanaume wapumbavu TU km wanawake au ndo hizo ndumba
Yaani kabla hujaoa unapigwa tukio,unaoaje Sasa?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kikubwa tu jua unacho ona sahihi kwako sio sahihi kwa mwenzako.... Kila mtu abaki na uhuru wake.... Ukiona ukristo ni upumbavu na mimi naweza kuuona uislam kwa namna ambayo nikiitaja italeta tafrani.... We kufa sa moja uzikwe sa mbili mi nife January nizikwe December inakugarimu nini????? Fata yanayo kuhusuNi UPUMBAVU wa UKRISTO. Uislam hauna huo muda wa sijui tusubiri nini mara vile, ni tunazika na chap mtu anastirika, kuna vitu mnataka kuendekeza havina maana. Ushawahi sikia ujinga kama huo kwa waislam??
Ila kwenye Ukristo utasikia kila sehemu, wala sio wachaga peke yao, Mnawaonea tu ishu hapo ni ujinga wa Dini yenu.
Wekeni misingi imara na sheria imara, MFALME WA OMAN anakufa saa 1 asubuhi na saa 7 mchana anazikwa iwe huyo boya asiyekuwa hata na uhakika wa kuwa na boxer 100??
Hapo sawaSoma stori nzima mzee; marehemu enzi za uhai wake alishaacha wosia azikwe hapo. Baada ya kifo mke analazimisha akazikwe kwao Kilimanjaro. Huoni tatizo?
Hata kama angefariki bila kuacha wosia, sio suala tu la mjane kuamua wapi mumewe akazikwe, ila ni lazima awe na concrete reasons kwanini anataka hivyo. Otherwise, kauli zisiponyooka, ndugu wana haki ya ku-intervene!
Ina semekana kuna mzungu alitaka kuinunua ndio hapo valangati likaanza.
Ina semekana hataki azikwe hapo sababu ni hiyo atashindwa kuiuza nyumba kwa huyo mzungu
Huu utaratibu wa kuzika kwenye nyumba zetu ni mzuri sana. Vibari viwe vina toka haraka sana vya kuzikia nyumbani
Kwakwel kama mtu una eneo kubwa zikwa hapo hapo itazuia wale wanaokimbilia kuuza nyumba ya marehemuIna semekana kuna mzungu alitaka kuinunua ndio hapo valangati likaanza.
Ina semekana hataki azikwe hapo sababu ni hiyo atashindwa kuiuza nyumba kwa huyo mzungu
Huu utaratibu wa kuzika kwenye nyumba zetu ni mzuri sana. Vibari viwe vina toka haraka sana vya kuzikia nyumbani
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Atapapiga level kisha atalifuta na udongoKama ulikuwepo kwenye akili yake
Kwani umeona wananga'ng'ania Mali mwenye nyumba kasema nikifa nizikwe kwangu, na sisi wanajumuiya pamoja na ndugu tunafuata kauli ya Marehemu iweje mke apingane na marehemu mumewe?? Na kwa taarifa tu mwanamke hana uamuzi wa wapi mumewe azikwe ndugu ndio wataamua hapo unaweza elewa nini maana ya kutolewa mahari na kutoa mahariNisichoelewa ndugu wanaweza kumpangia mjane halali namna ya matumizi ya nyumba yake au wapi amzike mme wake?