Bagamoyo: Mwanamke ashindwa kuzika mwili wa mumewe. Mgogoro wasababisha afunge geti marehemu alikopaswa kuzikwa na kutokomea kusikojulikana

Bagamoyo: Mwanamke ashindwa kuzika mwili wa mumewe. Mgogoro wasababisha afunge geti marehemu alikopaswa kuzikwa na kutokomea kusikojulikana

Kwahiyo marehemu hajazikwa?? Huyo alitaka aiuze nyumba maana si unajua huwezi uza nyumba na kaburi
Ina semekana kuna mzungu alitaka kuinunua ndio hapo valangati likaanza.

Ina semekana hataki azikwe hapo sababu ni hiyo atashindwa kuiuza nyumba kwa huyo mzungu

Huu utaratibu wa kuzika kwenye nyumba zetu ni mzuri sana. Vibari viwe vina toka haraka sana vya kuzikia nyumbani
 
Hapa ishu sio USUKUMA, na sio UCHAGA ni UPUMBAVU WA DINI YA KIKRISTO TU.

Waislam kesi kama hizi husikii, umekufa saa 10 alfajiri basi saa 7 Mchana wake baada ya Swala ya adhuhur unazikwa na mambo yanapita.

Tuwe na utaratibu wa kuzingatia dini zetu, hii migogoro huwezi isikia.
We akili zako ziko sawa kweli? Au ulitaka tu kuongelea dini yako?!?!? Hapa tatizo lililo pelekea kuchelewa kuzikwa hukuliona au ulitaka azikwe kwako?.... Eti upumbavu wa kikristo!!!! Ebu heshimu imani za watu mana hata yako ni ngumu kwa wengine.
 
Baadhi ya Waombolezaji kwenye msiba wa Kijana Henry Massawe aliyekua Mkazi wa Kiaraka Magengeni, Bagamoyo Mkoani Pwani, wamelazimika kuvunja geiti la nyumbani kwa Marehemu ili kuingia kumzika baada ya kukuta geiti hilo limefungwa huku Mke wake akiwa hajulikani alipo ikiwa ni muda mfupi tu baada ya Mahakama ya Bagamoyo kuamuru Marehemu azikwe Bagamoyo na sio Kilimanjaro kama alivyotaka Mkewe.

kabla ya kuvunjwa kwa geiti hilo Waombolezaji walikua wamekaa nje wakati wote na baada ya hapo wakaingia na kuuvunja pia mlango wa nyumba ya Marehemu ili mwili uingizwe sebuleni kama ilivyo taratibu za misiba ya kikristo.

Henry Massawe alifariki January 16, 2023 na mwili wake ulisubiri kuzikwa kwa wakati wote huo kutokana na mgogoro uliokuwepo baina ya Ndugu wa Marehemu waliotaka azikwe nyumbani kwake Bagamoyo huku Mke wa Marehemu akitaka azikwe Kilimanjaro kabla ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Bagamoyo Vedatus Mwalia kuamua kuwa Marehemu azikwe Bagamoyo ,
Mahakama ya Bagamoyo mkoani Pwani leo January 24 2023 kuamuru mwili wa Henry Massawe kuzikwa nyumbani kwake Kiaraka, Bagamoyo kama watakavyo Ndugu zake na kutupilia mbali hoja za Mke wake aliyetaka akazikwe Mkoani Kilimanjaro, Ndugu Jamaa na Marafiki waliojitokeza kwa ajili ya maziko ya Marehemu Henry wamekuta geti la nyumbani kwake limefungwa huku ikielezwa kuwa Mkewe hajulikani alipo,
Mke alitaka kuuza mji na labda kudhulumu watoto
 
Ilaa huyu jamaa alikuwa na Mbinafsi sanaa labda kamaa Mkewe kashiriki kumlazaa pemaa na jamaa kaona sababu ya mali sasa wacha nijengee kaburii hapaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mrema nae kazikwa kwake hao ni wachaga Mila zao ,Kuna jamaa alikuwa anaitwa kikore alifariki akazikwa kwake nyumba yake ipo katika ya mji kabisa wametoa paving block wakamzikq humo.
 
Marehemu alishaacha wosia azikwe bagamoyo. Mke ndo amegoma kwa sababu za kibiashara. Mahakama imetoa amri mke ametoroka hajazika mimewe. Na hapo awali mke alishafumaniwa na picha zake zilichafua hali ya hewa kwa mange
Mke wake kumbe alikuwaa malayaaa eehe.. safi sanaa acha apambane sasa
 
We akili zako ziko sawa kweli? Au ulitaka tu kuongelea dini yako?!?!? Hapa tatizo lililo pelekea kuchelewa kuzikwa hukuliona au ulitaka azikwe kwako?.... Eti upumbavu wa kikristo!!!! Ebu heshimu imani za watu mana hata yako ni ngumu kwa wengine.
Ni UPUMBAVU wa UKRISTO. Uislam hauna huo muda wa sijui tusubiri nini mara vile, ni tunazika na chap mtu anastirika, kuna vitu mnataka kuendekeza havina maana. Ushawahi sikia ujinga kama huo kwa waislam??

Ila kwenye Ukristo utasikia kila sehemu, wala sio wachaga peke yao, Mnawaonea tu ishu hapo ni ujinga wa Dini yenu.

Wekeni misingi imara na sheria imara, MFALME WA OMAN anakufa saa 1 asubuhi na saa 7 mchana anazikwa iwe huyo boya asiyekuwa hata na uhakika wa kuwa na boxer 100??
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Misingi imara ndo kuwahi kuzikaa???
 
We mjinga kama huyo demu.
Kwa taarifa marehemu alisema azikwe hapo, ila mwanamke wa kisukuma kwa kushirikiana na mama yake wakaenda kuweka court injuction hawataki azikwe hapo eti wanataka wauze hilo eneo(upunguani)
Mm km mwenyekiti wa wasukuma huyo pimbi sio msukuma wanawake wa kisukuma hawana tamaaa za kisenge km za huyo pimbi
 
Ni UPUMBAVU wa UKRISTO. Uislam hauna huo muda wa sijui tusubiri nini mara vile, ni tunazika na chap mtu anastirika, kuna vitu mnataka kuendekeza havina maana. Ushawahi sikia ujinga kama huo kwa waislam??

Ila kwenye Ukristo utasikia kila sehemu, wala sio wachaga peke yao, Mnawaonea tu ishu hapo ni ujinga wa Dini yenu.

Wekeni misingi imara na sheria imara, MFALME WA OMAN anakufa saa 1 asubuhi na saa 7 mchana anazikwa iwe huyo boya asiyekuwa hata na uhakika wa kuwa na boxer 100??
Kikubwa tu jua unacho ona sahihi kwako sio sahihi kwa mwenzako.... Kila mtu abaki na uhuru wake.... Ukiona ukristo ni upumbavu na mimi naweza kuuona uislam kwa namna ambayo nikiitaja italeta tafrani.... We kufa sa moja uzikwe sa mbili mi nife January nizikwe December inakugarimu nini????? Fata yanayo kuhusu
 
Soma stori nzima mzee; marehemu enzi za uhai wake alishaacha wosia azikwe hapo. Baada ya kifo mke analazimisha akazikwe kwao Kilimanjaro. Huoni tatizo?

Hata kama angefariki bila kuacha wosia, sio suala tu la mjane kuamua wapi mumewe akazikwe, ila ni lazima awe na concrete reasons kwanini anataka hivyo. Otherwise, kauli zisiponyooka, ndugu wana haki ya ku-intervene!
Hapo sawa
 
Ina semekana kuna mzungu alitaka kuinunua ndio hapo valangati likaanza.

Ina semekana hataki azikwe hapo sababu ni hiyo atashindwa kuiuza nyumba kwa huyo mzungu

Huu utaratibu wa kuzika kwenye nyumba zetu ni mzuri sana. Vibari viwe vina toka haraka sana vya kuzikia nyumbani

Yaani inamaanisha wakati marehemu bado Yupo hospital tayari kuna wateja wameshatafutwa kununua nyumba?

Eeeh kuna watu wana roho Kama mawe
 
Ina semekana kuna mzungu alitaka kuinunua ndio hapo valangati likaanza.

Ina semekana hataki azikwe hapo sababu ni hiyo atashindwa kuiuza nyumba kwa huyo mzungu

Huu utaratibu wa kuzika kwenye nyumba zetu ni mzuri sana. Vibari viwe vina toka haraka sana vya kuzikia nyumbani
Kwakwel kama mtu una eneo kubwa zikwa hapo hapo itazuia wale wanaokimbilia kuuza nyumba ya marehemu
 
Nisichoelewa ndugu wanaweza kumpangia mjane halali namna ya matumizi ya nyumba yake au wapi amzike mme wake?
Kwani umeona wananga'ng'ania Mali mwenye nyumba kasema nikifa nizikwe kwangu, na sisi wanajumuiya pamoja na ndugu tunafuata kauli ya Marehemu iweje mke apingane na marehemu mumewe?? Na kwa taarifa tu mwanamke hana uamuzi wa wapi mumewe azikwe ndugu ndio wataamua hapo unaweza elewa nini maana ya kutolewa mahari na kutoa mahari
 
Back
Top Bottom