Bagamoyo: Mwanamke ashindwa kuzika mwili wa mumewe. Mgogoro wasababisha afunge geti marehemu alikopaswa kuzikwa na kutokomea kusikojulikana

Tatizo la wasomi si Exposure wanakuwa hawanaga. So akiona kitu akakielewa huwa yeye hapotezi muda anajibebea tu na sababu ana uhakika wa maisha hawazi.

Wanawake wengi wanaolewa nao ili kuchuma tu unakuta wala mpango sio mapenz. Ni kuwapiga hela tu.

Matokeo yake ndio hayo unakuta hali tete dakika 45 tu striker hoi.
 
Wanaume wa siku hizi wanaoa Tako na sura

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Bora hata sura, Sasa hata tako lenyewe wanalopenda wala hakuna wanacholifanya huko ndani Sasa kama si ujinga ni nini? Ni sawa na kununuwa TV 4K halafu hata uwezo wa kutumia Netflix huna.

Mungu hawezi kumpa mwanamke tako na akili, vijana mnaosoma hapa eleweni hili, wazungu si wapumbavu, ukitaka kufanikiwa jaribu kuiga baadhi ya tabia za wazungu.
 
"Bora hata sura, Sasa hata tako lenyewe wanalopenda wala hakuna wanacholifanya huko ndani Sasa kama si ujinga ni nini? Ni sawa na kununuwa TV 4K halafu hata uwezo wa kutumia Netflix huna."

[emoji115]

Umeandika nini mbona naona mauza uza tu?
 
Ila inasemekana Kaka alishapigwa matukio toka uchumba
Sijui alilogwa maskini ya Mungu[emoji22]
Kwani huwa mnajali sasa mkitaka jambo lenu. Kuhusu matumizi ya ndumba kwa huyo mwanamke hisia zangu ziko 99% demu alimloga ili kumkoleza jamaa amuoe ili awe na marital rights za kuhodhi mali.

Huwezi kutembea na vigogo CCM kama sio mtu wa michezo.
 
Hakimu lazima atakua kalambishwa asali na ndg wa Marehemu!!
 
Kabisa mkuu..

Hili tukio limenifundisha kitu kikubwa sana...ndio maana kuna tajiri mmoja huu ni mwaka wa nne tangu ajijengee kaburi lake kwenye mji wake.

Nilikuwa sijamuelewa! Tajiri kama yule mwenye pesa,mali,watu kibao ana wasiwasi gani mpaka aandae kaburi lake kabla hajafa? Kwamba hawezi kuzikwa siku mauti yakimkuta?

Sasa ndo nimeelewa point yake kupitia tukio hili la Bagamoyo.
 
Nadhani hujaelewa,nadhani angekubali kuzika hapo nyumbani kwake ndio angekua amijimilikisha msiba vizuri kuliko kwenda kuzikwa huko kijijini kwa mumewe,hapo nintamaa ya hilo eneo hakutaka liwe na kaburi ili iwe rahisi hata kuliuza
Ni tamaa ya kipumbavu tu bila kuona mbele, mafao ya marehemu kwa muajili wake TBS ni haki ya mke na mtoto, pia mafao yote ya marehemu kwenye social security fund ni ya mke na mtoto, hizo sehemu mbili hakuna mtu yeyote anayeweza kulipwa stahili za marehemu zaidi ya mke, Sasa haya yote hayaoni?

Usikute ni group la Jackline Ntuyabaliwe mke wa Reginald Mengi akili zao zipo kwenye kinyeo.

Waweza kukutana mafao ya marehemu ni pesa nyingi kuliko hata pesa za kuuza hiyo nyumba, unachukuwa mafao mtoto aende shule na nyumba IPO, shida iko wapi?

Kama hauna nia mbaya nyumba zenye kaburi hospitali wanapanga vizuri tu bila shida yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…