Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Tatizo la wasomi si Exposure wanakuwa hawanaga. So akiona kitu akakielewa huwa yeye hapotezi muda anajibebea tu na sababu ana uhakika wa maisha hawazi.Wasomi huwa wanavagaa sana Madege ya jeshi ,ilikuwaje masawe akalivamia hilo DEGE LA JESHI? Kama alimfumania hakika amechangia kumpa magonjwa mmewe yaliyotokana na stress ,nina uhakika huyo manzi alimpa sumu ya kumuua taratibu ,haiwezekani iwe corona tu maana hadi hospital alikuwa hayupo kwenye critical kivile ila ndiyo hivyo tu kila siku condition ilikuwa inabadilika na kushindwa kupumua.
Wanawake wengi wanaolewa nao ili kuchuma tu unakuta wala mpango sio mapenz. Ni kuwapiga hela tu.
Matokeo yake ndio hayo unakuta hali tete dakika 45 tu striker hoi.